Muda umefika kwa ccm na cdm kufanya siasa zenye tija!

Jaffary

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
806
385
Tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ambayo ama yamesababisha vifo au majeruhi au uharibifu wa mali za watu au umma!
Nafikir muda umefika kwa hivi vyama hasimu kuafikiana na kufanya siasa safi na zenye tija kwa jamii otherwise tunakoelekea kutakuwa kubaya sana japo mimi si mtabir!
 
Hayo hayana budi kutokea, kwa kuwa "siasa na vita" ni kitu kimoja. tofauti tu ni kuwa "Siasa ni vita bila kumwaga damu, na vita ni siasa ya umwagaji wa damu". isipokuwa, inapobidi, siasa hugeuka kuwa vita, endapo walioko madarakani hawataki kukubali umma uamue hatima yake kwa njia ya amani, wakati mvuto wao kwa umma unapokuwa umekwisha. Wakati umefika, ambapo hayo hayana budi kutokea. kama hupendi kuyaona, hama nchi, au kufa kabla hayajatokea.
 
Back
Top Bottom