Muda si rafiki

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
Wadau katika kauli nazichukha mimi binafsi ni hii, utakuta mjadala mzuri unaendelea . Watu wanachangia mambo mazuri lakini utashangaa kipindi kinafungwa eti muda umeisha zaidi ya hapo wanaweka tv ya urusi na haituhusu wala haina matangazo ya tz. Je inatusaidia nini? Mbona kenya habari huwa inajitosheleza na hawana taarifa ya ea. Sisi tumelogwa au taarifa za k. Ug. Zinatuhusu nini? Mbona kenya hawana taarifa hizi za habari. Tunajipendekaza nini je inatsaidia au ni upuuzi tu? Nawasilisha ugomvi no.
 
Hata mm huwa sielewi why wao hawasomi zetu sisi twazisoma we need change in media industry
 
Hata mm huwa sielewi why wao hawasomi zetu sisi twazisoma we need change in media industry
The fact that we read news about them and they don't about us means that we are more informed about East Africa than they are. The question is, what are we doing with that information? It is they who are establishing businesses in our country, registering companies on our stock exchange, getting CEO jobs in our country,etc. The answer is that we are good at complaining and not doing. In other words they are offensive and we are defensive. Defenders don't score goals.
 
Back
Top Bottom