Muda sahihi wa kuzaa

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,181
1,212
1.WANAWAKE(WOMEN)
Wazungu wanasema Fertility is Ageist..ikimaanisha umri ndo unaweza ukaadhiri Afya Ya mtoto wako kwa Wanawake wanazaliwa na mayai kamili ambayo hupungua kiasi na Quality miaka inavyoenda..Mwanamke anavyozeeka uwezekano wa kupata mimbe unapungua chances za kupata risk mbali mbali kama miscarriage zinaongezeka!!

-Akiwa Miaka 32 uwezo wa Kuzaa unapungua ILA KIDOGO sana.
-Akiwa na Miaka 35 uwezo wa kuzaa unapungua kwa SPIDI ya Juu sana
-Akiwa na Miaka 40 uwezo wa kuzaa unakua umepungua kwa Nusu
-Kuanzia Miaka 20-31 uwezo wa kuzaa unakua asilimia 40% kwa kila mwezi ILA above 40 ni 5% sasa ukizaa Late unaweza kupata risks kama still birth(mtoto kufa esp age ya 35 hapo) kuanzia 40 kwenda Juu its a Miscarriage unapata

2.WANAUME(MEN)
As women,quality Ya sperms Inapingua as a man Ages mpka inafikia Point hawezi kumpa mwanamke mimba kabisa!
-Akiwa na Miaka 40 na zaidi uwezo wa kumpa mwanamke unapungua kutokana na kupungua kwa MOTILITY(kukimbia kwa sperms kufuata Yai) akiwa 45 kwenda Juu mtoto atakaemzaa atakua na matatizo kiafia
-Akiwa 20-40 hapa uwezo wa kuzalisha upo vizuri na anaweza kupata watoto kama wote Bila shida Yoyote kabisa!!!!
 
Sio kweli
 
Acha wewe wanaume wanabebesha mimba hadi wenye miaka 50 alafu unaleta ngonjera hapa
 
Back
Top Bottom