Muda muafaka na nini cha kufanya

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Mwanamke akitaka kupata mototo baada ya kuacha kutumia dawa za uzazi wa mpango,
anatakiwa akae muda gani ndipo apate mimba? na wakati huo wa kusubiri afanye nini?
nauliza hivyo kwavile nimesikia hayo madawa sio mazuri na yanasumu mwilini hivyo akiacha kuyatumia lazima apitishi kipindi fulandi ili mwili wake uweze kurudi katika hali yake na pia kutoa sumu mwilini.
 
itapendeza aende kwa Daktari ampime ili ajuwe ametumia Dawa gani? huo ndio ushauri mzuri lakini kwanini asitumie kukwepa siku ndio njia bora ya kuzuia mimba isiweze kuingia kuliko kutumia Dawa za kuzuia mimba?mkuu.@kitalolo
 
Back
Top Bottom