Muda huu star tv Tundu Lissu & Celina kombani

Si vizuri kuwajibia. Mtuambie Star TV ,kumetokea nini? na ni mara nyingi kwenye mijadala kama hii, kasoro hizi zinajitokeza kuna nini ?
 
Habari nilizopata za uhakika ni kwamba amri imetoka kwa Dialo kukatisha kipindi, Sina uhakika kama naye kapata mkwara kutoka kwa kikwete au namana gani, Hili jambo linastahili kulaaniwa na kila mtu kwani uhuru wa vyombo vya habari unaanza kuminywa. Nasema hivi kwa kuwa si mara ya kwanza kipindi kukatishwa katika mazingira ya kutatanisha, ni takriban mara ya tatu !

Star TV imekuwa imeanza kujijengea heshima kama chombo ambacho kiko impartial lakini muda si mrefu itakuwa kama TBC ambao huwa wanasoma sms za kuiponda CHADEMA tu. za kuiponda CCM wanazitia kapuni. Mwishowe watangazaji wake wanapigwa mtaani
 
Back
Top Bottom