Elections 2010 Muchangia chadema kwa sms

lukenza

Senior Member
Apr 11, 2010
120
8
Kwa wazalendo wote waliona uchungu na nchi hii

Ndugu zangu muda wa mananeno umeisha sasa inatakiwa vitendo

wazo langu ni kuwa Tuwaombe Chadema waanzishe ule mtindo ambao umezoeleka
siku hizi wa kutoa mchango kwa kutuma SMS kwenda number fulani mimi nikakuwa
kati ya watakaochanga Jamani Ndugu zangu kuleta mabadiliko kama haya
tunayoyategemea inatakiwa kujitoa kwa hali na mali ikiwezekana hata kutoa uhai wako kwa ajili ya kizazi cha Baadaye
 
Chadema walikwisha azinsha utaratibu huu hata kabla ya CCM, labda wawakumbushe tena wananchi utaratibu wao...
 
1. Tunafanyaje ili kutuma fedha za mchango kwa sms tafadhali tuelezeni.
2. Naomba CHADEMA watumie slogan ya Edmund Burke katika uchaguzi huu, itafsiriwe kiswahili ""The only thing necessary for the triumph of evil is for good men to do nothing".
 
Chadema walikwisha azinsha utaratibu huu hata kabla ya CCM, labda wawakumbushe tena wananchi utaratibu wao...

Mkuu Susu.....vipi mbona umepotea sana aisee............mchango wako muhimu sana hapa Mkuu usipotee namna hiyo
 
Back
Top Bottom