pia bado udom kunawaka moto wanachuo bado wako kwenye mgomo pinda amesuluhisha wahadhiri ambao nao kumbe ni wahadhiri wa kata kama serikali ilikuwa inawapunja kisha unaimba tunaimani na serikali kisha tunaimani na pinda kusema kweli jana niliwaona wale wahadhiri ni sawa na wanafunzi wa kata hakuna mwanaharakati pale wote vibaraka tu
Yaani sijui nini kinachotokea, watu wamebadilika mno. Hali hii inabidi serikali yetu ijitathamini siyo kinafiki bali kwa kumananisha.
Institutional failure!
kazi ipo.......................