MUCCOBS(ushirika)

Jemsi

Senior Member
Mar 22, 2012
149
19
Vp wakuu,kwa wale wenye tatizo kama langu la kutoona majina yao kwenye web ya muccobs,tujuzane coz kesho naenda kula sahani moja nao,so kama kuna aliyefuatilia hilo la mucob tujuzane ili anipe feedback aliyopewa,ili nikienda nibadilishe uzi na kuweka manila,
 
sasa ule nao sahani moja hahaha unanipa raha sana ndugu nenda utamkuta DR MSAKI ule nae sahani moja na urudi hapa useme ulichokiona
 
Da wakuu safar ni nzuri,ila nimefanikisha kilichonipeleka ila tulisumbuana sana,ila wamesema majina ambayo hayaonekani web ya chuo hilo sio tatizo kwani wao ndio wanaopeleka watu chuoni,hivyo watu watoe shaka.
 
Back
Top Bottom