Mubarak refuses to stand down

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Haya hatimae mwisho wa nguli umefikia kikomo na peoples power imeonyesha kazi yake,mubaraki ataachia nchi usiku huuuuu
source al jazeera Al Jazeera English: Live Stream - Watch Now - Al Jazeera English
nadhani sasa ndio anaachia ngazi,kwa wale wenyhe hiyo link hapo juu mwaweza cheki


Egyptian army's supreme council discusses Mubarak's future, says it will continue to monitor situation.

sasa ndio ameondoka na kuachia ngazi,kwa heri mbaraki http:(//English. Al-Jazeera.net/watch_now/)

http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-12307698

hatimaye msela kagoma baada ya kuona madaraka ni matamu,Rais wa Misri, Hosni Mubarak amesema atasalia madarakani na kukabidhi madaraka yote baada ya uchaguzi wa urais mwezi Septemba.
 
sure mkuu naona hapa live........waarabu wanajua kudai haki zao...wacha sisi tubaki na ujinga wetu
 
Supreme Council of armed forces kutoa tamko hivi karibuni, mambo yamepamba moto.......Kiongozi wa jeshi wa ngazi ya juu anasema wanasubiri amri watangaze habari zitakawafanya wananchi wafurahi..........sijui ni habari gani, tetesi zinasema Mubarak ameondoka Cairo ameelekea wapi haikuelezwa.
 
Jamaa nawaadmire sana! when they say no they mean it, siyo sisi hakuna kitu tunachojivunia. Kwenye soka wanatutoa kamasi, kwenye inshu za technology nazo tunababaisha. Yaani full kujipendekeza kila sehemu. Ngoja watupe somo labda tutaelimika.
 
Yap safari imefika nadhani ndege itakuwa inaandaliwa. Naangalia live aljazeera na msnbc safi saana. I wish nguvu ya umma kama hii ikatokea bongo.
 
Tena leo wafanyakazi karibu wote nao waliingia mtaani, kuanzia madaktari na wengineo
 
images


Natumaini na huyu jasusi Omar Suleiman naye ataondoka.
 
Doctors,medical students and lawyers wamejitoa kumalizia kazi ya wanaharakati!
 
A few more details:

Strong likelihood Mubarak will leave. CIA Dir. Panetta expects announcement today. He will give power to Vice President.
 
Ataondoka leo jioni ujanja umemwishia ..... .... Next rais Mwizi na makuwadi wake.
 
unaweza kufata habari hii hapa.

[video]http://english.aljazeera.net/watch_now/[/video]
 
Confirmed by US official and indications seems like it is supported by the Military. At least an Military spokes man says that they seek to meet the demand from the people.

Egyptian Official says that the Protesters have won.
 
Mi nadhani hizi nchi zetu zina matatizo mengi sana ya kimfumo wa kiuongozi. Akiondoka anamuachia nani ofisi...makamu wake. Hapa ni kubadili sharti na kuvaa lingine. Mfumo mzima unapaswa kubadilishwa. Na hauwezi kubadilishwa na watu walio ndani ya serikali ile ile.
 
And the crowd is cheering in Tahrir Sq.

This will be very difficult to reverse even if it is not true!
 
Back
Top Bottom