Mubarak aandaa mazingira ya kukimbia misri.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Rais wa misri anajiandaa kwenda Ujerumani kwa kile anachodai ni kwenda kuangalia afya yake. Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema kuwa hiyo ni janja ya kuondoka madarakani na kumwachia madaraka makamu wake. Source: BBC NEWS.
 
Back
Top Bottom