Muangalie huyu dada alivyoteseka

VISIONEER

Senior Member
Apr 29, 2011
141
20
CLICK HAPO UONE HIYO VIDEO MUANGALIE HUYO DADA
[video]http://youtu.be/_PQitC-z73o[/video]
 
Ina maana alikuwa hasikii upepo unavuma kwa sana maeno.. au alikuwa kazini??
 
nyie watu bana!! yani hata hamjaelewa hiyo video hata kidogo!!
poleni!!
 
japo sijaona clip,,nadhani hajajidhalilisha kwani wanawake huwa wanavaa ivo. Ndo mana hakufeel upepo.
 
lol, hiyo njemba iliyokuwa na demu wake naona imepoteza channel kabisa akili imeshindwa kufanya kazi. Lakini who can blame him, ddio utamu wa kujing'ata ulimi wa vitu potabo..he he he ,,
 
Acheni ushamba nyie hiyo ni program "Naked and happy" kama sijakosea na inarusha sana tu,,,angalieni at the end kuna cameras zimetegwa watu wanaonyeshwa......
 
Yaani kajisahau kabisaaa

lol, hiyo njemba iliyokuwa na demu wake naona imepoteza channel kabisa akili imeshindwa kufanya kazi. Lakini who can blame him, ddio utamu wa kujing'ata ulimi wa vitu potabo..he he he ,,
 
Nadhani alikuwa na mambo yake. Ukimgusa mwanaume anakupeleka mahakamani kwa kumdhalilisha kijinsia au anatafuta wa kukublackmail.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom