Muandishi anapokosa i Bashashsa

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
UN.jpg
 
Mwandishi kakosaje bahasha hapa
Sana sana naona ka concentrate na ana sura ya kazi
Usichanganye madawa mkuu
bashasha-uchangamfu
bahasha -rushwa

hiyo sura uliyoiita ya kazi mtaani wanaita 'uso wa mbuzi'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom