muandaaji miss chit chat kaingia mitini na zawadi za mshindi

Status
Not open for further replies.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.

Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?

Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu.

mia
 
Hehehehe! kafanyaje!!! Ruhazwe JR Lundenga njoo haraka ujibu tuhuma hizi ni nzito sana, fanya fasta kabla hatujaanza maandamano!!! lete zawadi ya Arabela
 
Last edited by a moderator:
Jamani haya mashindano yamefanyika mi nikiwa wapi? Si tulipendekeza majina tu? Ila Arabela ndo alitajwa sana!
 
Last edited by a moderator:
Yani da kipipi, Baba V na mzee wa mia nashinwa kuelewa imekuaje mpaka Lundenga akakimbia.
 
Yani da kipipi, Baba V na mzee wa mia nashinwa kuelewa imekuaje mpaka Lundenga akakimbia.

Hatukukubali, lazima aje hapa!!, wee, kampeni zote zile hadi nimechukiwa na waume za watu baada ya kuwa PM wake zao!!
 
Tulieni huyu mtu file lake halina rekodi mbaya, nnamfahamu long faka!
Then hajaanzia hapa Jf kudhamini makitu ya kiivi .
Soon atakuwepo, jana nimeongea nae kwa simu kachepuka mara moja Apolo hosp India , kampeleka mwanae kung'oa jino.
 
Yani da kipipi, Baba V na mzee wa mia nashinwa kuelewa imekuaje mpaka Lundenga akakimbia.
yaani nachanganyikiwa. au kuna kitu chochote ulicho mnyima?. kama vipi omba ushauri kwa Remmy akuambie ilikuaje akapewa zawadi. mia
 
Last edited by a moderator:
Ni upepo tu huu utapita tu :smile:
sio upepo bali hiki ni kimbuka. na kikipita kama hakitaondoka na nyumba basi kitaondoka na bati. ngoma ikiwa nzito tutamchagua mtu atutangazie Arabela kama mshindi halafu tunampa zawadi wenyewe. haiwezekani ushindi wa mtu uchakachuliwe hivihivi nasi tukubali. mia
 
Last edited by a moderator:
mia lazima ikuume kwa kuwa ulikuwa mmojawapo ya fadhili wakuu wa huyo miss mtarajiwa.
 
Last edited by a moderator:
mia lazima ikuume kwa kuwa ulikuwa mmojawapo ya fadhili wakuu wa huyo miss mtarajiwa.
he! kumbe na mia ilimhusu!?.. mbona Arabela hajanambia bana!?.Sisi tunataka tukupendekeze wewe ututangazie mshindi kama anavyo fanya rundenga au tma(tanzania music award). mia
 
Last edited by a moderator:
huyu Arabela lini katangazwa kuwa mshindi mbona kama sielewi hivi
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom