Muammar Gaddafi

kwempa

Member
Apr 11, 2011
72
11
Habari wanjamvi, Inasemekana kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi haswa madini kama vile dhahabu, tanzanite nk. na hivi karibuni kuna ule mradi wa linganga na mchuchuma, na kwa kuwa hzi raslimali zinaonekana kutokidhi dhamani yake katika kuwaletea wananchi maendeleo, kwa mantiki hiyo basi, tumpe hii nchi Muammar Gaddafi angalau kwa miaka kumi.....ni hayo tu

Watu mliozoea kudhalilishwa ndivyo mlivyo. Usikute fikra hizi ndizo zinazotawala uendeshaji wa familia!
 
Jamani jamaa post yake siyo craap kama mnavyo comment.
Nadhani cha umuhimu hapa tujiulize kitu gani na kwanini jamaa huyu amefikilia hivi? Pili ana malengo gani kuandika hivi na kutoa suruhisho kama ili?
Kwakuzingatia hayo twaweza pata jibu sahahi kama kweli nchi hii inabidi iongozwe na mtu kutoka nje au nini kifanyike kuweza kuleta maendeleo kwa kutumia raslimali zilizopo hapo Tanzania.
 
Habari wanjamvi, Inasemekana kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi haswa madini kama vile dhahabu, tanzanite nk. na hivi karibuni kuna ule mradi wa linganga na mchuchuma, na kwa kuwa hzi raslimali zinaonekana kutokidhi dhamani yake katika kuwaletea wananchi maendeleo, kwa mantiki hiyo basi, tumpe hii nchi Muammar Gaddafi angalau kwa miaka kumi.....ni hayo tu

na wewe ndio umeona hii topic ya maana kuleta hapa? Kweli Tanzania itabaki maskini milele. Nyie ndio wananchi na haya ndio mawazo unayoleta hapa JF. Kweli tumerogwa.
 
Tusimbeze huyu mtoa mada,
1, gaddafi hajulikani hata alipo iweje aje atutawale ?
2 haiwezekani hata kwa ndoto kuja kututawala kwani hata kwake ameshindwa kutawala
tujiulize alifanya nini na mali za nchi yake?
1 je aligawa kwa wawekezaje wezi kama hapa kwetu,
2 je alikula mwenyewe na vibaraka wake kama hapa kwetu
kumbukeni alikuwa na mazuri japo anamabaya mengi,
hapa kwetu viongozi hawana zuri lolote ! Ukiliona jua kalazishwa kilifanya
 
Habari wanjamvi, Inasemekana kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi haswa madini kama vile dhahabu, tanzanite nk. na hivi karibuni kuna ule mradi wa linganga na mchuchuma, na kwa kuwa hzi raslimali zinaonekana kutokidhi dhamani yake katika kuwaletea wananchi maendeleo, kwa mantiki hiyo basi, tumpe hii nchi Muammar Gaddafi angalau kwa miaka kumi.....ni hayo tu

Kama haujishughulishi binafsi na migodi na badala yake unakaa tu hapo Dar ukisubiri serikali iwanyang'anye Barrick migodi ili pesa inayopatikana wakuletee wewe nyumbani kwako, ni lazima utasema tumpe Gaddafi.

Lakini wenzako tuliko huku tunapiga kazi za ukweli na tuna-appreciate hii migodi. Tunalala tumechoka, lakini tunafurahia kazi ya jasho letu.
 
Hawa ni wale ambao kazi yao kubaki kukosoa na kukaa vijiweni kusubiri serikali iwape hela ya kuendesha familia.
 
Tanzania is one of the riches countries in natural resources, coast and big land, but its very very poor!! imagine watu wanalima kutumia plough ya miti...Karne ya 21 unalima kutumia jembe la miti na una chuma nchini kwao....this is rediculous then unaenda kuomba msaada...no hapana
 
Itendee haki lugha ya watu hiyo. Mmelazimishwa?
 
Back
Top Bottom