Muafaka wa madiwani chadema na ccm arusha, makao makuu walikuwa na taarifa

in and out

Member
Jun 30, 2011
69
6
mimi mwanajf nawapongeza madiwani wa cdm kufikia muafaka na cha ccm kule arusha huu ndio ukomavu wa kisiasa, namshanga slaa kuunda kamati wakati taarifa za vikao vya muafaka alikuwa nazo, je? lengo lake ni kutaka watu waendelee kuuana kwa maslahi yakei? au ili uwe muafaka ni mpaka yeye apewe nafasi ya makamu wa RAIS, ccm imeishafunga ndoa cuf, nanyi mnataka kuwa bi mdogo?
 
inategemea wewe wafikili vipi kama cdm ama kama lema ama mbowe ila nakupongeza pia lakini jenga hoja zenye mantiki kwa nn wakatae nakuunga mkono ila kuna tatizo
 
mimi mwanajf nawapongeza madiwani wa cdm kufikia muafaka na cha ccm kule arusha huu ndio ukomavu wa kisiasa, namshanga slaa kuunda kamati wakati taarifa za vikao vya muafaka alikuwa nazo, je? lengo lake ni kutaka watu waendelee kuuana kwa maslahi yakei? au ili uwe muafaka ni mpaka yeye apewe nafasi ya makamu wa RAIS, ccm imeishafunga ndoa cuf, nanyi mnataka kuwa bi mdogo?
Uchanga unakusumbua lakini karibia utaacha.
 
mimi mwanajf nawapongeza madiwani wa cdm kufikia muafaka na cha ccm kule arusha huu ndio ukomavu wa kisiasa, namshanga slaa kuunda kamati wakati taarifa za vikao vya muafaka alikuwa nazo, je? lengo lake ni kutaka watu waendelee kuuana kwa maslahi yakei? au ili uwe muafaka ni mpaka yeye apewe nafasi ya makamu wa RAIS, ccm imeishafunga ndoa cuf, nanyi mnataka kuwa bi mdogo?
Tumewazoea munaingia kusafisha hali ya hewa JF ni kisima cha wanaofikiri humpati mtu hapa
 
Slaa alikubaliana na kila kitu mwisho wa siku alipoona wananchi wanahoji inakuwaje mpaka watu wapoteze maisha kwanini wasingeafikiana pale mwanzo sasa kaona itakula kwa Chadema.

Mheshimiwa Slaa anatafuta kukigawa chama chake . Haya ni matokeo ya kuchukua ushauri kutoka kwa kina Mabere Marando ma opportunist waliobobea.
 
Ukitaka kubomoa hoja za watu makini kama wapenzi wa CHADEMA basi usijikanyage katika hoja zako.
Hapa hueleweki kwamba ubovu wa Slaa ni kuwa kuwageuka madiwani au kutowahurumia waliokufa Arusha.
 
Back
Top Bottom