Muafaka CCM, CHADEMA waiva

Dr. Slaa,
Bila shaka wajua fika swala la kupanga mbunge wa kiti maalumu achaguliwe wapi ni swala la UTARATIBU WA NDANI YA CHAMA NA SI SHERIA YA NCHI KWAMBA LAZIMA ENEO LAKE LA KAZI LIWE NI MKOA AU WILAYA... NDO MAANA WENZETU CUF WANA WABUNGE WANAFANYA KAZI ZA KANDA NA SI MKOA... H

II INAPOTEZA MAANA YA HOJA YAKO YA KINA KIWELU NA LUCY KUWA HALALI KWASABABU TU ETI WANAISHI KILIMANJARO NA UCHAGUZI UPO NDANI YA MKOA MMOJA NA HAPA CHATANDA KAPATA UBUNGE KUTOKEA TANGA LAKINI ANAISHI ARUSHA NA KUFANYIA KAZI ARUSHA THEN YEYE SI HALALI....
Kanuni nyingine iliyovunjwa ipi Dr?

mkuu sitaki kuamini kuwa hata wewe kiongozi sheria zinakupiga chenga, au labda mimi ndo sijaelewa sheria, nijuavyo mimi mbunge wa viti maalumu anaweza akateuliwa na chama chake kuwakilisha mkoa wowote, Chatanda aliteuliwa na CCM kuwakilisha mkoa wa tanga, iweje akapige kura arusha???? ok, hilo la wabunge tuliacha, ni kikao gani kilikaa kumchagua mayor wa arusha? kilihusisha madiwani wangapi kama sheria inavyoruhusu?
 
kobello which court are talking about is that Mkuchika is one of the judges?
Dude!!,the question is,WHY DIDN'T YOU GO TO COURT?...ANY COURT.
If you don't trust the judicial system,what makes you think you can force your way in to the office?.....Look at how Anna Hazare forced his parliament to enact a resolution to curb corruption.Blood loss is a vicious cycle, it never ends, so just calm down and follow the right path,it works!!
 
Nashukuru..

Lakini ninavyofahamu Wabunge wa viti maalum wanawawakilisha wanawake wa Tanzania nzima na hivyo hawawakilishi mkoa wala wilaya yoyote, na ndio maana CHADEMA iliteua Wabunge hawa kwa vigezo tofauti kabisa bila kuzingatia mikoa wanayotoka waombaji.

Na ninavyojua ni kuwa chama kinaruhusiwa kisheria kumteua mbunge wa viti maalum kukiwakilisha kwenye halmashauri yeyote kitakachopenda, kwa mantiki hiyo sioni tofauti ya suala la Grace Kiwelu na Mary Chatanda, kisheria Chadema ingeweza ata kumpangia Grace Kiwelu kuiwakilisha kwenye halmashauri ya Jiji la Mbeya bila tatizo lolote.

Kwenye hili la uchakachuaji naomba utuweke wazi zaidi..

kwa maelezo yako, je! itakuwa sahihi kwa grace kiwelu akiwa muwakilishi wa mbeya kuja kumchagua mwenyekiti wa halmashauri ya Hai?
 
Mh Dr W. Slaa naomba unisaidie maana mimi na pata taabu kidogo, hivi katika hatua ambayo sakata hili lime fikia mnatengemea muachieve nini kama cdm katika hayo mazungumzo ya muafaka?
 
@Dr. slaa

kwanini unatumia muda mwingi kubishana na Nape wakati fika unajua kwa CCM katibu mwenezi ni mtu anyeshughulika na propaganda pia na hizi ni sehemu za propaganda zake?

ningekuelewa kama ungekuwa na mjadala na Mukama na si Nape

kwanini wewe pamoja na Mukama msiitishe mdaharo na taifa lijue nini kimekosewa na wapi kwa kurekebisha na si kuendelea kumsikiliza na kujibishana na Nape kwani propaganda ni sehemu yake
Hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako kubishana na Nape kwa mtu kama Dr. ni kupoteza muda Nape bado ana siasa za ujana za kutafuta sifa hazungumzii facts anazungumzia events, angalia hapa tunaongelea uchaguzi wa Arusha yeye anaingiza wa Hai, kwa cheo chake haya mambo ya chenga hayafai ajaribu kujitofautisha na wanaJF wanaopoteza mada tunaobishana nao humu, yeye kama kiongozi akija anatakiwa aje na facts 1,2,3.

Kitendo cha yeye kuziita barua za Tendwa ni majungu ni cha kushangaza sana, najua kabisa Nape anajua hizo barua zipo kwa bosi wake Mukama haihitaji PhD kutambua huyu ni kiongozi wa aina gani.
 
@Nape mnauye

unajua unanikera sana nikikumbuka research report yako ulioiwakilisha kwa ajili ya kupata masters pale mzumbe university business school ni ya kudesa , natamani nipate wakili anisaidie kukufungulia kesi ili ufungwe

je wewe si fisadi wa elimu ? kwanini unaleta propaganda kwenye misingi ya taifa letu?
 
kwa maelezo yako, je! itakuwa sahihi kwa grace kiwelu akiwa muwakilishi wa mbeya kuja kumchagua mwenyekiti wa halmashauri ya Hai?
Mkuu,in politics that is called an "electoral college",Tanzania is not a federation,it's a state by herself.In our elections,the electoral college is based on "party-lines" that's why we don't have independent candidacy in our local and national elections.
The "Electoral college" in LAGs is not characterised by residency(like US) BUT by party affiliation.So, as long as the electors are members of the registered political party they can vote anywhere and anyhow.CCM WON 10 SEATS,CDM WON 8.
About quorum,In case of a boycott,or unexplained abscence of the council members(especially,when they all belong to the same party),the meeting will be categorized as an emergency meeting i.e a meeting that is not regular as described by the local authority(the emergence can be disapproved by the court or the director).
The quorum for such meetings is 50%.
 
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...

@Nape mnauye

unajua unanikera sana nikikumbuka research report yako ulioiwakilisha kwa ajili ya kupata masters pale mzumbe university business school ni ya kudesa , natamani nipate wakili anisaidie kukufungulia kesi ili ufungwe

je wewe si fisadi wa elimu ? kwanini unaleta propaganda kwenye misingi ya taifa letu?
 
Dude!!,the question is,WHY DIDN'T YOU GO TO COURT?...ANY COURT.
If you don't trust the judicial system,what makes you think you can force your way in to the office?.....Look at how Anna Hazare forced his parliament to enact a resolution to curb corruption.Blood loss is a vicious cycle, it never ends, so just calm down and follow the right path,it works!!
Don't make me lough, Hanger Strike in Tanzania? people will lough at you.
 
Jogi na wenzako,

KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA?

NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.

TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...

TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.

Inasikitisha kama wewe kiongozi wa kitaifa huelewi mgogoro ulio Arusha, CDM na CCM kuna mgogoro wa Meya kuchaguliwa na watu wasio wajumbe halali na klikao kiliitishwa kimya kimya. Huo unaouita mgogoro wa CDM na madiwani umeletwa na Pinda Mjumbe wa CC wa chama chako sasa kusema ccm haiingilii wakati ndio wapiga debe mahiri wa uchochezi na tuhuma za rushwa zipo! Nendeni mjipange upya hapo bado.

"TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE"
kutupatia mgao wa giza, mfumuko wa bei, kushusha bei ya pamba, uhaba wa mafuta na ufisadi wa UDA kweli sisiem hamna huruma
 
kwa maelezo yako, je! itakuwa sahihi kwa grace kiwelu akiwa muwakilishi wa mbeya kuja kumchagua mwenyekiti wa halmashauri ya Hai?

Hatujaelewana..

Issue hapa ni kuwa, ni chama ndicho kinachagua/teua Mbunge wa Viti Maalumu kuwakilisha kwa mantiki ya kuhudhuria vikao vya madiwani kwenye halmashauri ipi, na kinaweza kabisa kisheria kutozingatia kama Mbunge huyo ni mkazi wa halmashauri hiyo au la..

Kwa mantiki hiyo Chadema kingeweza kabisa kisheria kumteua Grace Kiwelu anayetokea mkoa wa Kilimanjaro ata kama sio makazi wa mwenyeji wa Mbeya kuwakilisha/kwa maana ya kuhudhuria vikao vya madiwani kwenye Jiji la Mbeya na kikawa sahihi kabisa bila zengwe.

The same to Mary Chatanda, kwa chama chake kumteua awakilishe kwenye Halmashauri ya Arusha, haruhusiwi sasa kuhudhuria vikao vya Halmashauri ya Jiji la Tanga wala nyingine yeyote hapa nchini, kama Grace Kiwelu asivyoruhusiwa sasa kuhudhuria vikao vya Manispaa ya Moshi, kwa hiyo mgogoro wa Umeya wa Arusha hauwezi ukawa ni kwa sababu ya Mary Chatanda...
 
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...

Eeeh kwahiyo unawaza magamba tu . mbona umekimbia Igunga nenda ukakemee ufisadi igunga.
 
Mkuu,in politics that is called an "electoral college",Tanzania is not a fedration,it's a state by herself.In our elections,the electoral college is baed on "party-lines" that's why we don't have independent candidacy in our local and national elections.
The "Electoral college" in LAGs is not characterised by reidency(like US) BUT by party affiliation.So, as long as the electors are members of the registerd political party.
About quorum,In case of a boycott,or unexplained abscence of the council members(especially,when they all belong to the me party),the meeting will be categorized as an emergency meeting i.e a meeting that is not regular as described by the local authority(the emergence can be disapproved by the court or the director.
The quorum for such meetings is 50%.
kobello

We know you know kingeredha, ila ni ulimbukeni kulazimisha kujadili kwa kingereza wakati wengine wanatumia kiswahili, ina maana kweli hujui kiswahili?
 
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...
Jirani taratibu basi, na ujibu mada kama kiongozi si kishabiki utakuwa huna tofauti na wengineo...btw CDM inawakimbiza kwelikweli, mkilala mkiamka Magwanda, mkinywa chai , mkifuturu Shibuda, mkikesha mkisali Arusha...

Je CCM imeshika hatamu ili kujibishana na chama chenye theluthi tu ya wabunge wote ? Je mmepewa hii dhamana ili mkosoe tu chama cha upinzani ? Nadhani mmepoteza mwelekeo..huu ni wakati wa kufanya mambo mliyoyatolea ahadi au kama msemavyo 'ilani ya uchaguzi' mpaka tufike 2015 mtakuwa mnalalama na CDM mpaka hakuna cha maana tutakachokiona kwenu

Consider yourselves warned!
 
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...

Kumbe huyu naye ni kiongozi? Umekopi na Ku paste kwa Mbowe alivyomwambia Wassira pale alipozidiwa na kutakla kuzichapa kwenye kipindi cha TBC1 siku ya Ijumaa. TOfauti ni kuwa Mbowe alisema ukweli kwani Wassira ni Waziri na wewe umedanganya kwani unayemuita kiongozi humjui au ndio kuzidiwa Mkuu? Nani ka kwambia King ni Kiongozi?
 
Mmm Nape kashakimbia angekimbia phd ingekuwa maneno makubwa hapa...
.... ....
Ndugu yangu Nape nakuomba sana unapokuja humu uwe na lengo la kushauri, kuelimisha na kutufahamisha chama kinamipango gani si kubishana na wanaJF asante ni hayo tu kwa leo.
 
wenye kauli za nape akiwa anatapa kuwafukuza ndan ya chama,atuwekee hapa ili ajue analolifanya ndani ya nchi ni ukinyonga.
 
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...
usitake kupoteza mada wewe si wa mwaka jana wewe umejiunga mwaka juzi pale na kupewa kuwa waziri wa ulinzi na hatimae kuiba repoti ya watu , sasa unataka kusema kuwa ujachagua topic wakati wa mwaka jana tu wameshaanza kufanya research na wanaendelea na topic zao na wewe wa mwaka juzi zaidi ya miaka miwili sasa wakati sheria ni baada ya mwaka unafanya research

cha msingi ni kuwaomba watanzania msamaha kwa ufisadi wako wa elimu, na uondoe ripoti uliyoiweka na uanze upya la sivyo tutakutana mahakamani
 
Back
Top Bottom