Mtwara, lindi, ruvuma vijana wengi wanataka viongozi wakuu wa chadema ili wajiunge haraka

mhagama1

Senior Member
Apr 4, 2012
106
28
tunaomba operation Korosho mtwara , lindi, ruvuma wakati ni sasa wa kuimalisha chama chetu hapa mtwara watu wanaona chadema kwenye tv tu sasa tunahitaji live hapa njooni jamani tumalize mjadara wa mafisadi wa kurosho vijana wazee na akina mama wanasubiri kwa hatu kuzitupa kadi za rangi ya kijani ili tupate kadi mpya zenye mlengo wa maendeleo ya kila mtu siyo wao tu na familia zao
 
CHADEMA itabidi ifanye kazi ya ziada kukubalika katika mikoa ya Lindi na Mtwara! Kwa mkoa wa Ruvuma ukiondoa wilaya ya Tunduru kazi ni rahisi sana.
 
chadema itabidi ifanye kazi ya ziada kukubalika katika mikoa ya lindi na mtwara! Kwa mkoa wa ruvuma ukiondoa wilaya ya tunduru kazi ni rahisi sana.

nakubaliana na wewe kutokukubaliana katika hilo! fanya utafiti mwenyewe utabaini ukweli! na kama ulifanya pengine ulitumia maswali aina ya [color=#000080ff]yes, no questions[/color] hivyo ukapata majibu yasiyo sahihi..!!
 
Mkitaka ujumbe wenu ufike na ufanyiwe kazi mapema, watumeni akina Masawe na Tarimo wanaoishi katika mikoa hiyo utapokelewa kwa urahisi na kufanyiwa kazi na akina Mbowe
 
Mkitaka ujumbe wenu ufike na ufanyiwe kazi mapema, watumeni akina Masawe na Tarimo wanaoishi katika mikoa hiyo utapokelewa kwa urahisi na kufanyiwa kazi na akina Mbowe
Mawazo yako siku zote yanakuelekeza kwenye ukabila tu, huna jingine jipya???
 
tunaomba operation Korosho mtwara , lindi, ruvuma wakati ni sasa wa kuimalisha chama chetu hapa mtwara watu wanaona chadema kwenye tv tu sasa tunahitaji live hapa njooni jamani tumalize mjadara wa mafisadi wa kurosho vijana wazee na akina mama wanasubiri kwa hatu kuzitupa kadi za rangi ya kijani ili tupate kadi mpya zenye mlengo wa maendeleo ya kila mtu siyo wao tu na familia zao

Mapinduzi inabidi yaanzie chini na kupanda juu.
 
Mwandishi tafadhari hayo majina ya mikoa siku nyingine ukumbuke kuyacapitalise herufi za mwanzo ...Hapa bara bado Tabora,Tanga,Pwani,Lindi,Mtwara,Moro na Sing.
 
ni kukosa tu elimu lakini mtwara na lindi inawezekana ikawa ngome ya cdm.
 
Hawa jamaa uko far south khaa huwa nachoka.
Maisha yao duni ila bado wanakomaa na CCM kama wamelogwa!
Naona wanaitaji kuelimishwa kuwa UDUNI wa miasha yao kwa kiasi kikubwa husabishwa na CCM na wasimsingizie Mola
 
Mkitaka ujumbe wenu ufike na ufanyiwe kazi mapema, watumeni akina Masawe na Tarimo wanaoishi katika mikoa hiyo utapokelewa kwa urahisi na kufanyiwa kazi na akina Mbowe

cku zote buku mbili za magamba hupelekea uweke akili na elimu (kama unayo) pembeni
 
Harakati za ukombozi mahali popote duniani huanzia sehemu ndogo au kikundi cha watu wachache na hatimaye kusambaa sehemu kubwa hata kama si yote, ni kweli sasa ni wakati wa CDM kusambaza moto huu wa mapinduzi uenee sehemu zote Tanzania ili ukombozi upatikane kwa urahisi zaidi. Naifahamu vizuri Mtwara na Lindi ni kweli kabisa watu bado wamelala kwa kutojua!! naamini sana kwa kutumia makamanda wa CDM moto utakaowaka kule hakuna ataweza kuuzima. Kuna mifani mingi achana na zao la korosho tu, angalia gas asilia ambayo serikali isiyojali wananchi wale wanaisafirisha moja kwa moja mpaka Dar kwa ajili ya matumizi ya Tanesco, viwanda na matumizi ya nyumbani, angalia bandari yenye kina kirefu isiyotumika ipasavyo kwa ukosefu wa miundo mbinu kwenda nchi jirani, angalia mali asili za misitu, nk. Eti kuna wabunge kule na mawaziri kadhaa wote wanaishia kujineemesha wenyewe tu hawana uchungu na umasikini wa wananchi. Wabunge na mawaziri hawa wameishia kugawana beach plots na kuziacha bila hata kuwekeza. CDM KAZIA MLIYOIANZA MIKOA MINGINE SASA IELEKEE KUSINI MWA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom