Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

Status
Not open for further replies.

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Maandamano halali, makubwa na ya kihistoria yanatarajia kufanyika Alhamis hii tarehe 27.Disemba.2012 kupinga GESI isiondoke Mtwara ikiwa GHAFI. Maandamano yataanzia maeneo ya Mtawanya saa tatu asub. Mlioko Newala. Masasi, Tandahimba, Nanyamba. maeneo ya Lindi na Kwingineko tuungane kutetea maendeleo ya KUSINI kwa ujumla.

[h=5]Madai ya watu wa Mtwara kuhusu rasilimali yetu ya Gesi na Mafuta ni haya!

1. Gesi isiende Dar
2. Kazi zote waajiriwe wazawa
3. Makampuni ya gesi na mafuta ni lazima wajenge
huduma za jamii ie. Maji, afya, barabara
4. Ni lazima watoe umeme bure kwa mtu anayetaka kuwekewa nguzo
5. Ni lazima kuwe na scholarship za kusoma elimu ya
juu ndani na nje ya nchi

Kama hawataki waache, kwani vinaoza!??!![/h]
 
Naam..,

ccm na wengine wote waliokawa wanafikiri ya kwamba south side i.e (lindi na mtwara na kanda ile kwa ujumla) wamelala na hawajitambui kiasi cha kushindwa kuzitambua haki zao na kuzitetea hiki hapa ndicho kinachofuatia.

Ujumbe wa watu mbali mbali wanaharakati wa asasi za kiraia unapita nyumba baada ya nyumba,mitandaoni.barabarani,misikitini,makanisani na kila sehemu zenye uhakika na upatikanaji wa viumbe waitwao wana wa adam kufikishiana ujumbe huu.

Maandamano ya amani yenye kibali cha jeshi la polisi ya kupinga gesi isiondoke mtwara yatafanyika alhamis tarehe 27.12.2012 kuanzia saa 3 asubuhi,tunakutana mtawanya.

Wazalendo wote wa newala hadi mtwara mjini,masasi,nanyumbu,tandahimba,kilambo hadi lindi yote msikose kwenye maandamano haya ya kihistoria.sms na ujumbe huu fikisha kwa wote kwa maendeleo ya kusini.

My take;

kazi ndiyo kwanza inaanza,yani huu ni mwanzo tuh wa picha lenyewe,,

CCM si wametaka wenyewe chai??

sasa kwa nini walalamike ya kwamba wanaungua??

Gesi mtwara bila ya kuyaweka mambo wazi kweli kabisa haindoki,ama la ikiondoka wapo watakaogharimika ama ccm au watanzania wa kanda ya kusini kwa ujumla,,

mapambano yameanza na yanaendelea,,uchungu wa southside wataupigania wenyewe south dwellers..
 
Maandamano halali, makubwa na ya kihistoria
yanatarajia kufanyika Alhamis hii tar
27.Disemba.2012 kupinga GESI isiondoke Mtwara
ikiwa GHAFI. Maandamano yataanzia maeneo ya
Mtawanya saa tatu asub. Mlioko Newala. Masasi,
Tandahimba, Nanyamba. maeneo ya Lindi na Kwingineko tuungane kutetea maendeleo ya KUSINI
kwa ujumla.

Mtahimili mabomu na virungu, mko tayari kufa? msilete utani, mkiamua muamue kweli maana mtegemee polisis kuua!
 
Hata mimi nawaunga mkono, gesi ni yao kwanini iletwe Dar Es Salaam? Mbona makampuni ya almasi toka Shinyanga/Mwadui hayajahamishiwa Da Es Salaam? Yes, Mtwara andamaneni tu mtetee mali yenu, barabara mmenyimwa na maendeleo kibao mlinyimwa kwa makusudi, wakati umefika wa kujikomboa.
 
Maandamano halali, makubwa na ya kihistoria
yanatarajia kufanyika Alhamis hii tar
27.Disemba.2012 kupinga GESI isiondoke Mtwara
ikiwa GHAFI. Maandamano yataanzia maeneo ya
Mtawanya saa tatu asub. Mlioko Newala. Masasi,
Tandahimba, Nanyamba. maeneo ya Lindi na Kwingineko tuungane kutetea maendeleo ya KUSINI
kwa ujumla.

Yatawezekanaje haya kutokea Mtwara?
 
Maandamano halali, makubwa na ya kihistoria
yanatarajia kufanyika Alhamis hii tar
27.Disemba.2012 kupinga GESI isiondoke Mtwara
ikiwa GHAFI. Maandamano yataanzia maeneo ya
Mtawanya saa tatu asub. Mlioko Newala. Masasi,
Tandahimba, Nanyamba. maeneo ya Lindi na Kwingineko tuungane kutetea maendeleo ya KUSINI
kwa ujumla.

:clap2: :clap2: :clap2: :clap2:
 
Naona kuna ushamba kidogo hapa wa Gesi ya asilia. Gesi haisafirishwi na matenka kama mafuta sasa mnataka Gesi iende vipi kwenye matumizi ya nyumba zaidi ya pipeline. Kwa matumizi ya nyumbani Gesi inabidi kusafirishwa kwa pipeline lakini kwa kupekeza nchi za nje wawekezaji watajenga kituo cha kuifanya gesi kuwa liquid na kuishafirisha nje hii itajegwa hukohuko inakotokea ni miradi tofauti. Gesi ya Dar ni kwa matumizi ya umeme na nyumbani tu.
 
hii nimeikuta masasi kwenye tawi la chadema eneo la masasi mbovu kukiwa na bango kuubwa lisemalo GESI KWANZA CHAMA BAADAE
 
Naona kuna ushamba kidogo hapa wa Gesi ya asilia. Gesi haisafirishwi na matenka kama mafuta sasa mnataka Gesi iende vipi kwenye matumizi ya nyumba zaidi ya pipeline. Kwa matumizi ya nyumbani Gesi inabidi kusafirishwa kwa pipeline lakini kwa kupekeza nchi za nje wawekezaji watajenga kituo cha kuifanya gesi kuwa liquid na kuishafirisha nje hii itajegwa hukohuko inakotokea ni miradi tofauti. Gesi ya Dar ni kwa matumizi ya umeme na nyumbani tu.
Kama Hujui cha Kuchangia kaa Kimya!!! Sisi tunataka Gas iaanze kuleta maendeleo Mtwara na Kusini kwanza kabla ya Sehemu nyingine yeyote Tanzania, we unazungumziua kuisafirisha, Au huujui mkakati wa kuifikisha hadi Bagamoyo ambako JK amekuteua kuwa mji wa viwanda baada ya dsm kujaa??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom