Mtwara Airport VIP

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
473
VIP hiyo hapo hahaha
 
Attachments

  • 20121017_064040.jpg
    20121017_064040.jpg
    394.6 KB · Views: 667
Kama lengo ni kuonesha parking ya VIPs' upo right, but kama lengo ni kuwaambia wanaJF kuwa hilo jengo ndio la VIP kwa airport ya mtwara, utakuwa very wrong coz si lenyewe, hilo jengo halitumiki kwa chochote, ni jengo lilikowa linatumika miaka ya sitini huko, badae likaachwa, ukaanza kutumika uwanja wa jeshi hadi kufikia mwezi jana ambapo waziri wa uchukuzi alienda kufungua jengo jipya pembeni tu mwa hilo jengo ulilopiga picha wewe.....so tueleze vizur unachotaka kutuambia/kutuonesha kabla hatujakuumbua koz f.y.i kila wikend naenda mtwara, ili nikienda this time nipige picha nije nikuumbue nayo hapa........
 
u a raiti kaka guuuuuudi
 
Usiniumbue mkuu.... Mimi nimeona tu kuwa kule kibao ukiangalia kwa mbali kinaonyesha kama VIP ni hicho kijumba kibovu ingawa si kweli...
 
hapo poa, afu nao wanatakiwa wakivunje hicho koz sio siri, kinakuwa uchafu katika eneo hilo.............
 
Whats wrong with this picture? Mbona inaonyesha kabisa kuwa bado Ukarabati/Ujenzi unaendelea. Tigga Mbwa, Hujui kama hata mbuyu ulianza kama mchicha? Acha kuwazarau Machinga bana!
 
Tumia akili nyepesi kufuatilia hii thread kuwa hiyo ni joke si kweli. Ustaarabu ni kitu cha bure. Asante kwa kuniita mbwa
 
Whats wrong with this picture? Mbona inaonyesha kabisa kuwa bado Ukarabati/Ujenzi unaendelea. Tigga Mbwa, Hujui kama hata mbuyu ulianza kama mchicha? Acha kuwazarau Machinga bana!
unamwita mwenzio mbwa halafu unaweka bold kabisa na rangi juu,huo nchicha unakuwa kwa miaka mingapi mkuu?

Sio kweli hapako hivyo, nilikuwa hapo asubuhi ya leo bahati mbaya sikupiga picha ningekuonesha namna palivyo hivi sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom