hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 19
mimi ni mtunzi mzuri wa hadithi. Natafuta m2 wa kunisupport.
hlw, nina intresting sana na mambo ya uandishi sijui nitakupataje?
Tukusanye nguvu if u're interested.....myself nimewasiliana na publisher mmoja(Mkuki na Nyota) na natarajia kupeleka one of my manusript in few months to come! May be tunaweza ku-test zari anga hizo!
mimi pia ni mtunzi mkuu...tunaweza tukafanya kitu
kuna jamaa yangu alikuwa anaandika hadithi gazeti la mwananchi lakini sasa hivi kaamua tenegeneza kitabu cha hadithi yake moja na kaniambia ameambiwa kuprinti kitabu kimoja ni tshs 1500 na minimum ni vitabu 300 so laki 3.5 ndo ameanza printiwa vitabu vyake hope vitatoka soon .
Tukusanye nguvu if u're interested.....myself nimewasiliana na publisher mmoja(Mkuki na Nyota) na natarajia kupeleka one of my manusript in few months to come! May be tunaweza ku-test zari anga hizo!
Tutafutane bas tunaweza tengeneza k2 kizuri hapo badae.Vipaj vye tu 2cvilaze.
kwa wale waliotaka kujua wapi rafiki yangu anako printia kitabo chake, wanaitwa ubunifu wetu printing press.
Kwa maelezo yake anadai kila kitabu kimoja ni 1500tshs. Lakini kabla ya kupeleka hadithi zake alienda kwanza kuzisajili baraza la sanaa, na ni tshs 15000 kwa mwaka.