Mtunzi gani wa riwaya za nje anayekuvutia zaidi?

James Hadley Chase..........

My signature... the way the cookie crumbles originates/is a name of one of his great novels!
 
Hizo nilizoweka red pamoja na:
Shaaban Robart
Prof. Said Muhammed
Adam Shafi
Abdullatif Abdalla
Muhammedm Said Abdalla
(Bwana Msa)

Na watunzi wote wa hadithi za watoto, ninawapenda na wameweka "alama" katika elimu yangu.
Hao hapo juu ni
Said Ahmed Mohamed
Shafi Adam Shafi,
Muhamed Said Abdulla


Naongeza na
Farouk M. Topan

Hakika hawa ni watunzi mahiri sana.
 
Jamani mie nampenda sana
Sidney Sheldon
Nothing last forever OMG
If tommorow Comes
Tell me your dreams
The Other side of midnight
Bloodline
The naked face
are you Afraid of the dar
na nyingine kibao

Pia kuna Harold Robbins
Dreams die first
Heat of Passion
Sin City,

Ken Follett
Eye of the Needle
Fall of Giants
The third twin
James Pattason
Jack and Jill
Angel
10Th anniversary

Lisa Jackson
lost Soul - so lovely
Left to Die
Twice Kissed
See how she dies
Unspoken
Born to Die



 
hakuna writer duniani kama Elizabeth Gage..nasikitika kwamba hakuna aliyemkumbuka..ameandika novels kama 1.pandora's box
2.taboos
3.master's stroke
 
Mtunzi wa Song of Lawino and Ocol
Ngugi
Mtunzi wa No longer at easy, Arrow of God and Things fall apart

Juu
Mario Puzzo - God farther and others
Sheldon - Riwaya nyingi tu nzuri na zenye mafunzo mengi ukizitafakari. Pia siku hizi zinapatikana 2 in 1 ni nzuru kuwa nazo Library

Nchini wapo wengi bali topic ni wa nje
 
Back
Top Bottom