Mtunzi gani wa riwaya za nje anayekuvutia zaidi?

Huyu jamaa ni mwisho.
sydney_sheldon_narrowweb__300x310,0.jpg
 
H. Rider Haggard
Ian Fleming
Irving Wallace
Frederick Forsyth
Charles Dickens
Wilbur Smith
Agatha Christie
Danielle Steel
Stephen King
Edgar Wallace
Robert Ludlum
John Grisham
Jackie Collins
J. R. R. Tolkien
Dan Brown
Mario Puzo
Roald Dahl
C. S. Lewis
 
Mimi navutiwa na Henry R. Haggard, Sydney Sheldon, James Hadley Chase na Robert Ludlum
 
John Grisham Agatha Christie na Yule mtunzi wa Series za Perry Mason (nimesahau jina lake)
 
sisi watanzania wengi wsanii hatusomi hivi vitabu zaidi ya biograpphy na summary. lafu tunazuga kwa kujua tittle. kibao. Mimi mpaka leo nanunua novel za J hadley chase japo ni za zamani na nazisoma mwazo mpaka mwisho.

kuna nyingine niliwai kununua nikaishia katikati
.
 
sisi watanzania wengi wsanii hatusomi hivi vitabu zaidi ya biograpphy na summary. lafu tunazuga kwa kujua tittle. kibao. Mimi mpaka leo nanunua novel za J hadley chase japo ni za zamani na nazisoma mwazo mpaka mwisho.

kuna nyingine niliwai kununua nikaishia katikati
.
Unapitwa na mengi sana mkuu, hanza sasa na utafurahia maisha.
 
H. Rider Haggard
Ian Fleming
Irving Wallace
Frederick Forsyth
Charles Dickens
Wilbur Smith
Agatha Christie
Danielle Steel
Stephen King
Edgar Wallace
Robert Ludlum
John Grisham
Jackie Collins
J. R. R. Tolkien
Dan Brown
Mario Puzo
Roald Dahl
C. S. Lewis
Hizo nilizoweka red pamoja na:
Shaaban Robart
Prof. Said Muhammed
Adam Shafi
Abdullatif Abdalla
MuhammedmSaid Abdalla (Bwana Msa)
Gabriel Garzia Marquez
Isabel Allende
Julio Cortazar
W. Shakespeare
James Hardly Chase
Nick Carter
Michel Ende
Na watunzi wote wa hadithi za watoto, ninawapenda na wameweka "alama" katika elimu yangu.
 
Ni mara chache kuianza kusoma novel ya Sheldon ukaacha kuimaliza. Jamaa alikuwa mtunzi wa hali ya juu, na story zake ziko very researched. If tomorrow comes, Master of Game, Sand of Time, Doomsday Conspiracy na Tell me Your Dreams were the master piece. Zamani ilikuwa taabu sana kupata novel hizo tena zilikuwa ghali sana ( in terms of US $) hasa kwenye maduka ya Novel Idea pale Sleepway na Steers Samora. Ukibahatika ungeweza kuzipata kwa wauzaji wa vitabu "Used" pale Sky Way na Motel Agip. Lakini siku hizi zipo nyingi sana pale Mlimani City Scolastica Bookshop. Vile vile zinapatikana kwenye duka moja la vitabu pale DDC Mlimani nyuma ya kituo cha dala dala za kwenda UDSM.

Kwa jinsi ninavyozipenda novel za marehemu Sheldon nimetengeneza collection ya novel zake zote, mwanangu aweze kuzisoma. Tabia ya kusoma vitabu mara nyingi haianzii ukubwani bali utotoni. Vijana wengi siku hizi wako interested in movies kuliko kusoma vitabu. Mtu anaona uvivu kusoma kitabu cha page 400 au 500 lakini kwa kweli wanakosa mengi. Ambao hawajasoma vitabu hivo wajaribu kusoma then watupatie feedback.
 
Abdullatif Abdalla sauti ya dhiki
Mwalimu Julius Nyerere anastahili pongezi kwa tafsiri ya julius ceaser na merchant of venice.Speech ya mark Antony in Kiswahili inagusa kweli/nimekuja kumzika kaizari wala si kumtukuza/i've come to bury ceaser not to praise him.
 
Back
Top Bottom