Mtunza Ikulu Mstaafu afariki dunia.

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,921
31,161
Wakuu heshima sana,

Mtunza Ikulu Ndogo mstaafu (Mama Lucy) wa Arusha amefariki na anatarajiwa kuzikwa siku ya jumatano katika makaburi ya Njiro jijini Arusha.

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuongoza wakaazi wa jiji la Arusha katika mazishi hayo.

RIP Mama Lucy.

Hayati Mama Lucy katika picha.

LUCY+ADAM+SAMILLA+mama+lucy.jpg
 
Naomba nikusahihishe Ngongo unatakiwa kusema Marehemu Lucy na siyo Hayati Lucy,wanaojua kiswahili vizuri wanaweza kukuelimisha ni kwanini Marehemu na siyo Hayati.
 
Namheshimu sana Mzee Malecela ningekuwa mimi singeweza andika upuuzi huu. Taarifa ya kufariki Lucy ilikuwa iwe kivyake na hii taarifa ya UDAKU. Kwani ajabu ni nini hapo Mkuu???
 
Wewe mtu ni mpuuzi sana, hivi umeleta habari za msiba au masihara. Pili wala huna data. Mama Lucy alikuwa bado hajastaafu alikuwa yuko nyumbani muda mrefu akiugua kansa ya koo. Pia huyu mama ana watoto watatu na siyo wawili.

Ukweli ni kwamba mama yetu amepumzika na mazishi yatafanyika siku ya juma tano makaburi ya Njiro ibada ita anza saa 6 mchana. Mheshimiwa Raisi pia atakuwepo kwenye mazishi.

Habari za Malecela sizani kaba zina essence yoyote katika hili swala. PUMBAVU WEWE.

Tutakutana kwenye kikao mchana huu Albero Club
 
Pumbavu sio tusi ni tabia za mtu flan flan na katika jamii zetu wapo wengi hii ikijumuisha na wajinga. Kwenye suala msiba kama hivi jamani tuwe wastaarabu angalau. RIP Mama yetu!
 
Mkuu Nduka Original

Kama Mama Lucy alikuwa bado hajastaafu basi huo ni udhaifu mkubwa wa wizara ya utumishi hasa ikizingatiwa muda alioanza kuuguwa na umri halisi.

Mimi nawafahamu watoto wawili tu huyu mwingine sijui kaibukia wapi.

[1] Lipina Macdonald Lemunge

[2] Mkami John Malecela.

Kikao cha mazishi kinafanyika nyumbani kwa Marehemu Haile Selesie Road na si Albero Club.
 
Last edited by a moderator:

Ana umri gani mkuu? na kaugua kitambo gani? RIP mtumishi wa ikulu
 
Wewe mtu ni mpuuzi sana, hivi umeleta habari za msiba au masihara. Pili wala huna data. Mama Lucy alikuwa bado hajastaafu alikuwa yuko nyumbani muda mrefu akiugua kansa ya koo. Pia huyu mama ana watoto watatu na siyo wawili.

Ukweli ni kwamba mama yetu amepumzika na mazishi yatafanyika siku ya juma tano makaburi ya Njiro ibada ita anza saa 6 mchana. Mheshimiwa Raisi pia atakuwepo kwenye mazishi.

Habari za Malecela sizani kaba zina essence yoyote katika hili swala. PUMBAVU WEWE.

Tutakutana kwenye kikao mchana huu Albero Club

Jama matusi ni ya nini? Fair enough, labda hukufurahia hiyo additional information. Kama unaona mleta maada kakosea kuileta - maybe kwa kudhani inamdhalilisha marehemu (though kisheria huwezi kumkashifu marehemu maana hajaisikia na hataisikia hiyo kashfa), sasa kwa nini nawe utukane kwenye uzi huo huo? Unakuwa na utofauti gani na huyo wa kwanza?
 
Back
Top Bottom