mtumwa hauawi jamani......

Dark City na The Boss; hivi huyo mkaka alishindwa nini kumuambia Cindy kuwa l can't be with u, au nimechange mind?

As much as nampongeza kwa kutoendeleza hiyo kitu further; kwa mimi bado si man enough kwani as a woman najua maumivu ya silence (mtu kusepa bila explaination).
 
Last edited by a moderator:

Hiyo inaitwa killing me softly......ni utaratibu mzuri tu Kaunga unazuia watu wasinywe sumu.
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea ombi maalum toka kwa mama chanja wangu mtarajiwa ,anasema kuna mtu kamwomba ushauri,katika hili naye anaomba mchango wenu.
Ni hivi:
Kuna mdada mmoja (tumwite Cindy), Cindy aliolewa na akaachika.Alipata watoto wawili kwenye ndoa yake na anaishi mwenyewe na wanae.Majuzi kuna baba mmoja aliingia kwenye ofisi ya dada yake Cindy (tumwite Brenda) na hapo ofisini huyo baba aliona picha ya Cindy na akamtunuku. Alijitahidi kuomba contact za Cindy lakini Brenda akawa anakataa.Jamaa king'ang'anizi pamoja na Cindy kumwambia dada yake asitoe contact zake lakini tokana na presha yajamaa mwisho Brenda alimpa jama namba ya Cindy.Zikanza simu na sms zisizoisha mpaka Cindy akakubali akutane na jamaa.Wakakutana,wakala,wakanywa,in the process Cindy akamweleza jama ukweli kuwa yeye ni divorcee with two kids.Kuanzia siku hiyo hajamsikia wala kumwona jamaa tena.
Cindy anajiuliza hivi jamaa kakimbia kisa ana watoto? Au kisa ni u divorcee?apparently dada yake kumbe hakumweleza jamaa kuwa cindy aliwahi kuolewa na ana watoto.
Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?

mwambie cindy hasihofu ni upepo tu utapita, atapata anayempenda,japo wanaume weng hawapendi wanawake wenye watoto, ukiongezea na kuachika huo ni upepo mkubwa.
 
Dark City naomba nikuulize swali ila mtu yoyote anakaribishwa kulijibu. Hivi wewe kama mwanaume ukiwa unamtaka mwanamke(na huna uhakika kama hana bwana) ukawa kila ukimpigia simu yuko home hata iwe late(yani mida yoyote,after working hrs)hana cha weekend wala nini. Huyo mwanamke utamfikiriaje???anafaa au anaogopesha kupelekea ww uchanje mbuga lol......nataka kujua wanaume in general(ama wengi wenu)huwa mnamuonaje mtu kama huyo.

Swali zuri Yummy........na sie wanaume tunatofauti pia juu ya extro and introverts......

Kwa mimi mwanamke anayependa kuwa ndani is my favourite lakini akae ndani baada ya kuwa kashamaliza majukumu sio akae ndani kama utumbo hata social gatherings haendi
 
Watu wanatofautiana,na si kila mtu anaweza kuwa na guts za kusema kila kitu kilichoko moyoni mwake. Ndiyo maana kuna watu wanajua sana kupepesa mdomo wakati wengine wanongea kwa vitendo. Kila njia ina madhara yake!

Babu DC!!

Babu heshima yako.....na pia huwa tunaamua kukaa kimya na kuondoka ili kutoumiza as sometimes if not always......truth hurts.....sasa kuliko kumuumiza mtu its better kukaa kimya na haswa kama ukweli hautabadilisha the status quo
 
Dark City na The Boss; hivi huyo mkaka alishindwa nini kumuambia Cindy kuwa l can't be with u, au nimechange mind?

As much as nampongeza kwa kutoendeleza hiyo kitu further; kwa mimi bado si man enough kwani as a woman najua maumivu ya silence (mtu kusepa bila explaination).

Kaunga my sis..how are you

Lakini mko tofauti mind you as wengine ukimpa ukweli aweza lia mpaka ukaanza kujisikia vibaya.....sasa its better to quit than telling it at the opening and leave a psychological scar and a permanent attitudinal depression......

Hili kwa mwanaume yeyote mwenye busara ni kukaa kimya unless the second side atake maelezo na pia inabidi kupima sana kbla ya ku burst open kwa sababu tajwa hapo juu
 
Ni kweli Kaunga
,

Kwa upande huo, huyo mwanamume amefanya kosa kubwa. Hata hivyo,bado nitamtetea kwa sababu siyo watu wote wanaweza kufikisha ujumbe usiotakiwa kwa wenzi wao....Ndiyo maana wengine huamua kukaa kimya na kuingia mitini kama huyo kaka.

Pamoja na huo upunguvu, overall assessment ya hiyo movie ya Cindy and the would be suitor ni A[SUP]+

Babu DC!![/SUP]
 
Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?

Bishanga hili swali ni wewe umelianzisha yule njemba hakutoa sababu ya kwanini kakimbia. Kumbuka ya kuwa alilia simu ya Cindy kutokana na taswira ya picha tu aliyoiona na alipokutana naye na kukaa naye kitako hatujui alipata picha ipi.................yawezekana majukumu tajwa yalimtibua au aliona hawataeza kuelewana na Cindy.............
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Kaunga

Dark City na The Boss; hivi huyo mkaka alishindwa nini kumuambia Cindy kuwa l can't be with u, au nimechange mind?

As much as nampongeza kwa kutoendeleza hiyo kitu further; kwa mimi bado si man enough kwani as a woman najua maumivu ya silence (mtu kusepa bila explaination).

Amwagee wa nini naye ni married? Kama mumewe bado yupo hai huyo bado kaolewa tu.................njemba haina sababu ya kumkashifu Mwenyezi Mungu kwa kuzini na mke wa mtu....lol.....................Kaunga you are better than this nonsense
 
Last edited by a moderator:
mwambie cindy hasihofu ni upepo tu utapita, atapata anayempenda,japo wanaume weng hawapendi wanawake wenye watoto, ukiongezea na kuachika huo ni upepo mkubwa.

Umeona ndugu Rutta,

Huyu Bishanga mchokozi sana...

Anajua fika, jinsi jamii (na especially huko kwao) inavyomchukulia mwanamke mwenye mtoto/watoto na pia ambavyo watu walivyo na uvumilivu mdogo (near zero tolerance) kwa mwanamume ambaye anaamua kumuoa mwanamke kama huyo.

Ninafahamu kuwa Wahaya wameenda mbali, na wana majina yanayotumiwa kuwaita wanawake wa namna hiyo (nasikia wanaitwa enyailya) na yanaonesha level ya juu kabisa ya unyanyapaa kwa mwanamke mwenye mtoto. Na sasa huyo Candy ana mzigo mwingine wa kuachika.....

No way, inabidi apate mwanamume mwenye mizigo pia..Vinginevyo, siwezi kumshauri kijana wa watu amvae mama kama huyo....

Samahani kama ninaandika mambo yanayokera wadau wengine ila kwa bahati mbaya mie naona kuwa hizo ni facts na si vinginevyo!

Babu DC!!
 
Babu heshima yako.....na pia huwa tunaamua kukaa kimya na kuondoka ili kutoumiza as sometimes if not always......truth hurts.....sasa kuliko kumuumiza mtu its better kukaa kimya na haswa kama ukweli hautabadilisha the status quo

Kaunga my sis..how are you

Lakini mko tofauti mind you as wengine ukimpa ukweli aweza lia mpaka ukaanza kujisikia vibaya.....sasa its better to quit than telling it at the opening and leave a psychological scar and a permanent attitudinal depression......

Hili kwa mwanaume yeyote mwenye busara ni kukaa kimya unless the second side atake maelezo na pia inabidi kupima sana kbla ya ku burst open kwa sababu tajwa hapo juu

Nakubaliana na nyie wote kwa asilimia karibia na 100!.....Huyo mwanamume alikuwa hajaweka sera zake zote mezani kwa sababu ndio kwanza walikuwa wanawekana sawa....

Hata mie nimefikiria mara mbili mbili na kuona kuwa ingekuwa vingumu sana kuaza kujitia kimbele mbele kumweleza Candy hizo ngetive findings ambazo alikutana nazo! Ukizingatia (kwa maelezo ya Bishanga), huyo baba hakusababisha sexual damage yoyote kwa Candy...Kama angekuwa ameonja, story ingekuwa tofauti.

Hata hivyo, wapo wanaume kibao ambao wametembea na mwanamke mara moja na kusepa milele, which is more damaging...!!

Babu DC!!
 
Bishanga hili swali ni wewe umelianzisha yule njemba hakutoa sababu ya kwanini kakimbia. Kumbuka ya kuwa alilia simu ya Cindy kutokana na taswira ya picha tu aliyoiona na alipokutana naye na kukaa naye kitako hatujui alipata picha ipi.................yawezekana majukumu tajwa yalimtibua au aliona hawataeza kuelewana na Cindy.............

Ta Rutashubanyuma,

Inawezekana kabisa kwamba kile alichokuwa amekiona kwenye display siyo alichokipata baada ya kuona bidhaa yenyewe. Ila bandika la ndugu Bishanga linatoa hints kama vile mwanamume kamtosa Candy kwa sababu ya kwamba ni mtalaka na ana watoto. Ndiyo maana wengi wetu tumejikita kwenye hizo hoja.

Na swali lake la wanaume kukimbia wanawake wenye watoto tumejaribu kulipa maelezo ya kina kabisa yanayokana na uzoefu (irrefutable evidence)!!

Babu DC!!
 
Now nimejua namna wanawake wenye watoto wanavyoteseka na jamii kuwanyanyapaa kwa sababu wana watoto,jambo hili litaongeza maumivu sana kwa wanawake ambao tayari wako kwenye ndoa zenye mateso!Watahofia kuondoka kwa kujua after that hakuna mwanaume atakua anashida nae kwa sababu ya watoto au mtoto unless awe na vitu vya kuwavuta wanaume kama fedha n.k.To my opinion mwanamke wa aina hii ni mwanamke bora kuliko asiyekuwa na mtoto!
 
Na ndiyo maana tunayasema haya ili kama kuna uwezekano, wadau wafunguke na hili suala lijadiliwe kiundani...

Ni tatizo kubwa ambalo linawasababishia mateso makubwa mama/dada zetu!

Babu DC!!
 
Babu DC,ni kweli wanateseka sana tena sana,bahati mbaya sana sisi wanaume ndo tunaosababisha tatizo hili kwa njia zote.Sisi ndo tunaowatia mimba,sisi haohao tunawaacha halafu hatuwataki tena kuwaoa,balaa kubwa!
 
Ni kweli ndugu Eiyer ,

Haya matatizo kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na wanaume, ila jamii yote kwa ujumla wake inachangia sana.

Katika mfano wa ndugu zangu Wahaya, wanawake walioachika au kuzaa kabla ya ndoa wananyanyapaliwa na kila mtu (wanaume na wanawake). Kwa hiyo, hili tatizo linatakiwa kupatiwa suluhu na jamii nzima..!!

Suala la kutiana mimba linawahusu wote (wanaume na wanawake). Ndio maana nawashauri wasichana wasijidanganye kuzaa na wanaume ambao hawana commitment ya maana katika mahusiano yao.

Kwa ufupi, ambao hawako tayari kulea wasizae.....!!

Babu DC!!!
 
Back
Top Bottom