Mtumishi wa Mungu habagui wala hachagui

Muadilifu

Senior Member
Sep 26, 2007
149
22
Lowass6.jpg Lowassa3.jpg Lowassa4.jpg Lowassa5.jpg Lowassa 2.jpg

Hapa ni Tunduma kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa la EAGT Tunduma ambapo familia yake pamoja na marafiki zake walichangia shilingi milioni 10.
 
Hongera sana Mh. Lowassa. Hakika Lowassa amejiwekaa hazina duniani na mbinguni. God bless him. Mh. Lowassa ni kiongozi shupavu sana, tunakuhitaji 2015.

Nahisi ana-apply ile stori ya Yesu na tajiri, yeye hana kinyongo..akimaliza kuzigawa atamfuta Bwana...kisa cha kukosa ufalme wa mbinguni, songa mbele bwana..watu wanafikiri uko kipolitiki kumbe unajiandaa
 
Huwa inaanza kama utani, halafu unashangaa ukufika mbinguni unamkuta. Je unamkumbuka Pilato?..hakupenda kumhukumu Yesu lakini ndio hivyo, Alitaka kumuepusha Yesu na kikombe kile kwa kusema Niwafungulie yupi kati ya hawa YESU au Baraba? ...ingawa Huyu Baraba alikuwa na dhambi nyingi sana, lakini hakuna aliyeweza kuzuia utimilifu wa andikoni, wakasema tupe Baraba ili Yesu asulubiwe.....Vipi kuhusu Petro? Ya Yuda siyaongelei hapa kwani huyu naye alijiua, ingawa ni kwa utimilivu wa andiko, lakini sina hakika kama kasamehewa:mod:
 
Back
Top Bottom