mtumiaji wa simu hapa bongo(namaanisha wewe mwenye simu ya internet)

newtonfox

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
217
93
......hii ni Mara ya pili sasa bada ya kuatafuta mawazo yenu na kuyatendea kazi sasa nimerudi tena.....kuwakaribisha katika tovuti ya simu(wapsite) ya kibongo kwa ajili ya downloads ndogondogo za simu,kama vile bongo mp3,video,picha,games na huduma nyingine nyingi zinapatikana kama vile ......wabongoo kapuni itakayokusaidia kutoa maoni yako ndani ya kapu na yataweza kutendewa kazi moja moja ,kama maombi ya apps,mziki,picha,hata msaada wa kompyuta hasa kwa vile vitu visivyo kuwepo ndani ya wapsite hiii jisikie huru kwa maana hii ni tovuti huru hasa kwa wale wamiliki wa simu
*****(huduma hii ya kapu itabeba vitu mchanganyiko sasa tupia kitu kapuni...maana limefunguliwa rasmi mwezi huu wa 10)

wabongAD.jpg

tembelea hapa http://wabongoo.tk au moja kwa moja ingia kapuni http://wabongoo.tk/kapu


 
Hakuna garam za kudownlod?mimi Huwa napata apps za bure kupitia getjar na zedgy,
 
Bongo fleva zina haki miliki.ata app toka getjar.azitakiwi ziwe uploaded ktk web nyingine bila idhini yao kuwa makini
 
Bongo fleva zina haki miliki.ata app toka getjar.azitakiwi ziwe uploaded ktk web nyingine bila idhini yao kuwa makini

hiyo kweli kila m2 anakula kwake vipi kompyuta yako umeweka windows original kutoka dukani?
 
Mwaka mzima sasa umepita no new updates.... kwenye hii wapsite kisa// desktop iliporwa niliyokua natumia but am back soon with new ideas...so lipi unapenda lingekuwemo ama kuondolewa xory vist http://wabongoo.tk and.then ignore me hau ni alert new thing needed
 
hahaha mi nli wa invite kwenye toplist ya wapsite za kibongo hajaja hata mmoja. Mi nna mpango nsitengeneze tena wapsite ntafute tu grabber scripts zifanye zenyewe automatic
 
hahaha mi nli wa invite kwenye toplist ya wapsite za kibongo hajaja hata mmoja. Mi nna mpango nsitengeneze tena wapsite ntafute tu grabber scripts zifanye zenyewe automatic

chief tengeneza bhaana maana zingine chafu kichizi zimejaa taarabu tu
 
Back
Top Bottom