Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Oooh, thats all? just balls and not bells, pity.
If you know what bells are
Oooh, thats all? just balls and not bells, pity.
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?
Mbona hilo jina la kati lina "ring a bell".
umepigilia msumari wa moto kwenye kidonda...The President, 2015 - 2020.
aisee Mzee mengi atahakikisha kila mtu anamjua huyu jamaa..by the way huwezi kumuibia media mogul ukabaki safe....jamaa alikua mtu wa accounts wa eatv..kalamba mkwanja mrefu kasepa!!
aisee Mzee mengi atahakikisha kila mtu anamjua huyu jamaa..by the way huwezi kumuibia media mogul ukabaki safe....
Nashkuru kwa taarifa sina uzoefu au ujuzi wowote kuhusu taasisi za huyu mzee lakini naona kama ni kitu ambacho hakiwezekaniMengi ni owner lakini hajawahi chukua faida za "Ipp Media" toka zianzishwe ye ana ingiza pesa kwa biashara nyingine ikiwemo viwanda Najua ulikua hujui hilo!!!..swala la msingi ni kwanini aliiba? mwizi lazima ashughulikiwe
Nashkuru kwa taarifa sina uzoefu au ujuzi wowote kuhusu taasisi za huyu mzee lakini naona kama ni kitu ambacho hakiwezekani
Because I got ''BALLS'' and not ''BELLS'' like you.....and they ain't ringing you know!!
Kujua kiasi alichoiba ni rahisi. Sasa kusanya magazeti yote yaliyomchapisha na nenda kawaulize wenye magazeti gharama ya tangazo. Ukishapata zidisha kwa siku zilizotangazwa, ukipata jibu hiyo ni asilimia 1 ya kiasi alichoiba. Hapo fanya cross multiplication kisha utajua.
Sihitaji kujua zaidi, kama umefurahia msaada wangu okay, namalizia supu unajua tena jana Ijumaa night niliifanya mambo.
Aaaah ha ha ha, kweli safari ni safari, hivi?... samahani lakini, hizi safari zako ni zile za kumuvu from point A to point B au zile za TBL? ...samahani lakini.
Mmenikumbusha mbali sana na hii kitu: Jina la kati "ku -ring a bell" na "hofu ya mwandishi kuandika hilo jina la kati in full". A fear, which inadvertently turned out to be true. Hii ndiyo JF-a heterogeneous population of benevolent and wacky misfits . Lesson. TII hisia zako.!!!wakati naandika hii post nilitaka kwa makusudi niandike hilo jina la kati kwa kifupi...hofu yangu kuu ilikua ww zomba nikasema hebu niangalie kama instinct zangu ziko sahihi....aisee we ni noma
Mbona hilo jina la kati lina "ring a bell".