mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
Kigogo mmoja wa tuhuma za mauaji katika orodha ya Ocampo 6 amepoteza mkwanja wa dola za kimarekani milioni 10 taslimu ambayo ni sawa na Ksh 840 milioni na pia ni sawa na hela yetu ya madafu Tsh bilioni 15,120,000,000.00 alipokuwa anarejea kutoka Hague uholanzi,hizo fweza alikuwa nazo kwenye mfuko wake na alishuka nao uwanja wa ndege lakini akausaha lounge ya VIP akiwakimbiliwa wapambe wake waliokuja kumlaki hiyo siku ya Jumatatu waliporudi,waliorudi hiyo Jumatatu walikuwa ni Uhuru Kenyata,Ruto na Sang.
Nafikiri mpaka hapo msomaji utakuwa umeshajua ni nani mwenye hizo fwedha ,kwake huyo jamaa hiyo ni hela ya kununua mboga sokoni.Inasemekana alibeba dolali hizo hadi Hague kwa ajili ya kujiwekea bond iwapo angeaambiwa aweke bond,cha kushangaza ilikuwaje apite na maburungutu yote hayo hapo Hague kwenda na kurudi,kwa uwanja wa Jomo Kenyata hilo linawezekana kwani jamaa ndio kati ya wenye nchi na haguswi kwa lolote hapo Kenya,pia inashangaza kwa mtu msomi kubeba hela taslimu katika ulimwengu wa siku hizi,au hizo pesa ziliombewa Bagamoyo,hata basi angeshindwa kutumia benki basi angetumia M-Pesa,
du acha bana mitu hii ina fweza,na jamaa wala hajatikisika ,akaenda viwanja vya Uhuru kujumuika na wapambe wake bila kuonyesha hisia zozote za kupoteza fwedha.