Mtu yeyote anaweza kuwa Rais?

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
naomba msome na kulinganisha na Tanzania yetu

"When I was a boy I was told that anybody could become President; I'm beginning to believe it. ~Clarence Darrow

ningependa iwe kwenye kiswahili pia lakini naogopa kutoa tafsiri isiyo sahihi
 
"Nilipokuwa ningali mvulana mdogo nilikuwa nikiambiwa kila mtu aweza kuwa Rais; Naanza kuamini"- Clarence Darrow
Sina mashaka huyu bwana atakuwa ni mmarekani tena itakuwa alikuwa akizungumzia UCHAGUZI ULE ULIOMUWEKA OBAMA MADARAKANI, But kwa Tanzania yetu kauli hii NI NDOTO, Coz hakuna usawa ktk watu, haki hazifuatwi, matabaka yamezidi, gap la kipato na kiuchumi kt ya mtu na mtu ni kubwa sana... Vyama vya siasa havipewi nafasi sawa za ushindani etc so KWA TZ HAIWEZEKANI. Km ulivyoanza kusema, MIMI BINAFSI NIMEIPENDA HII, NI CHALLENGE NA FUNDISHO KWETU!
 
"Nilivyokuwa mdogo niliambiwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais. Sasa naanza kuamini"

Msemo huu unaweza kuwa na maana mbili:

1. kwamba ameamini kuwa demokrasia imekuwa na sasa hakuna ubaguzi wa nani anaweza kuwa rais - JAMBO ZURI

2. Au inaweza kuwa na maana kuwa hadhi ya urais imeshuka mpaka mtu yoyote yule anaweza kuwa rais (yaani wezi, mafisadi, waongo etc0 - JAMBO BAYA
 
naomba msome na kulinganisha na Tanzania yetu

"When I was a boy I was told that anybody could become President; I'm beginning to believe it. ~Clarence Darrow

ningependa iwe kwenye kiswahili pia lakini naogopa kutoa tafsiri isiyo sahihi

Msemo huu unafanana na Tanzania!!

Actually, nilipokuwa mdogo nilikuwa siamini kama kuna mtu mwingine anaweza kuwa rAIS ZAID YA Mwl. Nyerere. I think I was dame right!!!
 
"Nilivyokuwa mdogo niliambiwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais. Sasa naanza kuamini"

Msemo huu unaweza kuwa na maana mbili:

1. kwamba ameamini kuwa demokrasia imekuwa na sasa hakuna ubaguzi wa nani anaweza kuwa rais - JAMBO ZURI

2. Au inaweza kuwa na maana kuwa hadhi ya urais imeshuka mpaka mtu yoyote yule anaweza kuwa rais (yaani wezi, mafisadi, waongo etc0 - JAMBO BAYA

Kwa vile mtoa hoja alitaka tulinganishe na Tanzania yetu basi ni wazi kuwa tafsiri Namba 2 inashabihiana zaidi na urais wa Tanzania.
Ikulu ilikoma kuwa mahali patakatifu pindi Mwl Nyerere alipong'atuka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom