Mtu na nduguye - Inafaa?

indoor intimancy ni kesi nyingi sana basi tu huwa hatuzistukii kwa kuwa huwa hatudhani kuwa zipo,so hapa hamna la kujiuliza mara mbili,huyo female anatoa kipochi manyoya this very soon!and she is looking forward for it!
 
It Is Sad
When You Realize
You Are Not As Important
To Someone
As They Are To You!

pole mwaya, unachakachuliwa live, wanaume wengine......lol
 
Mawazo yangu hayo. Najiuliza
kama tukiwa na mtoto wa kike huyu sio mmoja wa wale anaeweza hata
kumbaka mtoto wake wa kumzaa kweli?

only three months of marriage?u better be mo than careful mpnz,cjui karma housegirl atabaki,kazini iitakuwaje,mh!may God stand by the wife
 
Luvvy, wewe unafikira gani baada ya kuona hayo maongezi

Freema Agyeman yani nafikiria tu kwamba hawa watu ni wagonjwa (wote wawili). Ingekuwa mwanamke ambae sio ndugu hizi habari zingekuwa rahisi kidogo kumeza, maana sasa hivi hata kumwangalia mwanaume usoni naogopa. Ananitisha.
 
Last edited by a moderator:
Luuvy hawa ndugu ni wa kivip? hii itatoa mwanga zaid wa kuelewa

Wanaitana dada na kaka, hata sijapata ujasiri wa kuuliza kama ni wa mama/baba mdogo. Ila nnachojua zaidi ni kwamba BINTI NAE KAOLEWA!!
 
Wanaitana dada na kaka, hata sijapata ujasiri wa kuuliza kama ni wa mama/baba mdogo. Ila nnachojua zaidi ni kwamba BINTI NAE KAOLEWA!!
Dah hao ni wagonjwa ama lah wakuombewa hzo sio akili za kibinaadam! aisee
 
Freema Agyeman yani nafikiria tu kwamba hawa watu ni wagonjwa (wote wawili). Ingekuwa mwanamke ambae sio ndugu hizi habari zingekuwa rahisi kidogo kumeza, maana sasa hivi hata kumwangalia mwanaume usoni naogopa. Ananitisha.

Kama nimekuelewa vizuri hao ni ndugu tu, pengine ni ndugu wa kuvuta ambao wangeweza kuoana. Wametamaniana kama ambavyo wangeweza kutamaniana wasio ndugu. Hao wanatakana na ni kama wameshakubaliana kuvunja amri ya sita.

Usitishike tu ukaishia kuugulia moyoni. Chukua hatua, hoji hali hiyo ili ikome. Swala la kutamani watoto hapo baadae halipo.

Shetani yupo mlangoni, mzinge kabla hajaingia ndani.
 
Hhmmm hata sijui, yawezekana wakawa wa mbali au wa karibu. Ngoja nijikusanye kusanye nipate nguvu ya kuuliza maswali magumu.
 
Come on!
Yani wakiitwA WENye waume na wewe utatoka?
a)U r nothing compared to the woman she is charting with(the msgs explain that already)
b)Sasa kama ni ndugu yake si ndio mambo ni mabaya bora angekuwa hawara kabisa?

Nakushauri uchukue serious measures, kwa sababu kama ndo miezi mi3 hivi ukifika mwaka ndo itakuwaje? mafao yenyewe 55years angalia usijeshindwa kula mafao ya mumeo.
 
Wanaitana dada na kaka, hata sijapata ujasiri wa kuuliza kama ni wa mama/baba mdogo. Ila nnachojua zaidi ni kwamba BINTI NAE KAOLEWA!!

Si mumeo wa ndoa huyu??? Yaani hata ndugu zake wa karibu huwajui......hata kamayuko nje si ni lazima uambiwe shangaz MwaJ ana mtoto yuko Uk ndo mkubwa wa Shabani yule alokuwaga anakuja kukuita kwenu mi nikiwa nakusubiri pale chini ya mti.......eboo hebu jikaze mtoto wa kike
 
Hhmmm hata sijui, yawezekana wakawa wa mbali au wa karibu. Ngoja nijikusanye kusanye nipate nguvu ya kuuliza maswali magumu.

Mmmh......how strong are you in sex anyway; kwa mwanzo huu wa automatic reflex and the alarms are all on wewe unakusanya kusanya nguvu isijekuwa ndo sababu ya mumeo kuhaha nje......yaani majibu yako ni soooo spineless .

Kweli ni mke wa ndoa au unatupandisha munkari wa shari bure tu hapa......????
Unajua tofauti ya mke, kimada, fiancee na girlfriend?????................
 
Back
Top Bottom