Mtu na kaka yake, kosa langu ni lipi hapa?

Alikuwa Dada wa mimi
Kwahiyo unaishi kwa dada yako? Pengine ile iPad ya dola 900 ilivyopotelea ndani dadako pia aliichukua kama ambavyo anaweza kuchukua simu yako akatupia comment JF kupitia akaunti yako!
 
Kwahiyo unaishi kwa dada yako? Pengine ile iPad ya dola 900 ilivyopotelea ndani dadako pia aliichukua kama ambavyo anaweza kuchukua simu yako akatupia comment JF kupitia akaunti yako!
Ha ha ha naona umefatilia movie la kihindi tangu limeanza stering akiwa kwenye bustani ya maua brenda18 fatilia movie
 
movie ilianza 2014 Evelyn na inaendelea hadi sasa.
Ndo mambo ya movie za kihindi hapo katikati lazma wacheze nachi na wakimbizane kwenye bustani na risasi zikipigwa utasikia zinalia toio toio ha ha ha endelea kufatilia hata mie naicheki cheki
 
Hahahaa nipo nafatilia naona bahi mara iPad,teh kwani jf kuna viingilio jamaniii mpaka wajibane kutumia ID moja....
Kuna cha kujifunza hapo, kumbe humu waweza jipinda kuandaa tongozo ukilituma pm kumbe halimfikii mlengwa linatua kwa mtu mwingine....nimekoma
 
Habari za siku kidogo wakuu,

Leo nimeamka nawaza hapa kuna jambo linanitatiza

(Ni kama miezi 8 toka nilivyofahamiana na kaka mmoja tulikutana katika kazi akanipenda
Ila mimi sikumpenda kiviile tukawa marafiki wa kawaida ila akaendeleza mtongozo daily tukaendelea na mawasiliano mwishowe ikawa kama naanza kumpenda ila alikuwa kama haeleweki hivi nikajagundua ana mke nikakata mawasiliano.

*Baada ya muda siku moja tukiwa katika ishu za kazi alifatwa na gari na mdogo wake sehemu tulipokuwa kikazi then akanitambulisha kwa mdogo wake (wakiume) tukasalimiana fresh ikapita.

Ilikuwa Dec 2015 yule mdogo mtu alinitafuta ofisini alinipa tenda flani nikafanya nae kazi vizuri tu ikapita hapo sasa tukawa tuna mawasiliano nae chatting za hapa na pale utani maisha yakaenda.

"Siku moja akafunguka tu kwamba ananipenda nikazuga of coz na me nilishampenda ni mkaka educated, smart, lovely sikupenda kumpoteza coz alinambia yupo single bado anaweka maisha yake vizuri alafu atatafuta mke aoe.

Hivi naandika ni mwanaume wangu lakini juzi kaka mtu kantext hivi "nashukuru sana kwa uliyonifanyia siamini ila all the best na dogo."

Sijaweza kumjibu wala mdogo mtu sikuwahi kumwambia kuhusu mtongozo wa kaka yake sijui nianzie wapi.

Nishaurini wakuu nimwambie mdogo mtu au nife nalo moyoni maana naogopa isijeleta conflict kwa hawa ndugu wa tumbo moja.
Nawewe mbona hapo hakuna ubaya, mwambie kaka MTU ajiandae kuwa na Shem mwema na kuhusu mambo yetu asahau
 
Kuna cha kujifunza hapo, kumbe humu waweza jipinda kuandaa tongozo ukilituma pm kumbe halimfikii mlengwa linatua kwa mtu mwingine....nimekoma
Tehee hii mpya ya kushea ID....(kama ni kweli) Mnaweza kujikuta mmeshea na vingine.. Binadamu yeyote anahitaji privacy
 
Mi yashanikuta ilikuwa mbaya zaidi! Nilikuwa Naenjoy show za braza ila care ya dogo! Picha likataka kuwa LA kihindi nikamchunua dogo! Sasa kwangu lilikuwa haina jinsi dogo mkufunzi, (military trainer) broo Major.
 
Mwambie kaka mtu "Thanks" kisha kunyua goti na dogo ila kuwa huru kifikra tafuta muda muafaka umwambie dogo kuhusu "mtongozo" wa kaka yake.
 
Mi yashanikuta ilikuwa mbaya zaidi! Nilikuwa Naenjoy show za braza ila care ya dogo! Picha likataka kuwa LA kihindi nikamchunua dogo! Sasa kwangu lilikuwa haina jinsi dogo mkufunzi, (military trainer) broo Major.

Nimeipenda hii mwisho wa siku nani alikua mshindi major or military trainer?
 
WANAWAKE KAMA NYIE NDIO MNAOCHARANGWA MAPANGA
ALAFU MNAWASINGIZIA WATU WA KASKAZINI NI WAKATILI...
KUMBE MMNAYATAKA WENYEWE...
.
.
.
hayo mambo yafanyie huko huko kwa wanaoweza kukuvumilia na kukupiga kwa khanga
 
Back
Top Bottom