Mtu mzima kubakwa......ladies!

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Hebu tujadili kisa hiki:

Umekwenda mahali Fulani(ofisini au nyumbani kwa mtu),
Ukakaribishwa vizuri,
Umesha zoea kukuta watu wengi,
Bahati mbaya siku hiyo ukamkuta Jamaa huyu peke yake ambae unamfahamu vizuri
Akafunga mlango na kuanza mishemishe za kukubaka.

Kama ni wewe utafanyaje? kwenye situation kama hiyo unashauri mtu afanyeje???
 
Mimi ni mwanaume ..nitafurahi sana kwani nami nitambakahuyo jamaa awe ni mwanaume au mwanamke..
 
kisa ni nn uliwahi kutongozwa?
Hebu tujadili kisa hiki:

Umekwenda mahali Fulani(ofisini au nyumbani kwa mtu),
Ukakaribishwa vizuri,
Umesha zoea kukuta watu wengi,
Bahati mbaya siku hiyo ukamkuta Jamaa huyu peke yake ambae unamfahamu vizuri
Akafunga mlango na kuanza mishemishe za kukubaka.

Kama ni wewe utafanyaje? kwenye situation kama hiyo unashauri mtu afanyeje???
 
Hebu tujadili kisa hiki:

Umekwenda mahali Fulani(ofisini au nyumbani kwa mtu),
Ukakaribishwa vizuri,
Umesha zoea kukuta watu wengi,
Bahati mbaya siku hiyo ukamkuta Jamaa huyu peke yake ambae unamfahamu vizuri
Akafunga mlango na kuanza mishemishe za kukubaka.

Kama ni wewe utafanyaje? kwenye situation kama hiyo unashauri mtu afanyeje???
..Una miaka mingapi??? unampa tu ili msifanyiane vurugu na ni wazi utapata unachostahili....
 
ni makosa kwa wadada kwenda ofisi ya mtu asubuhi saana
au jioni wakati watu wanatoka
 
Anaefikiri kubakwa ni something to joke about, aendelee kuomba hivyo hivyo lisimfike

Situation kama ya hapo kwenye thread ikikukuta, piga simu polisi,
 
nimeandika thread hii baada kusoma thread ya MMJ nikakumbuka kisa cha mama mmoja aliyebakwa na fundi umeme alificha siri hiyo kwa muda mrefu sana. hakumwambia mtu yeyote. siku aliyotoa siri jamaa alibaka tena mtoto wa jirani 19yrs. Binti alipiga kelele jamaa akatiwa mikononi mwa wananchi, wakampeleka polisi, kati ya watu waliompeleka hospitali ilikuwa ni pamoja na huyo mama. ndipo alipo niambia kwamba huyu ndio tabia yake huku akitokwa mchozi. Alinieleza stori ya uchungu sana...
wanawake nani wa kuwatetea jamani akimwambia mwanamke mwenzie hamuelewi akimwambia mumewe ndio usiseme.. ndio maana nimeandika hiyo thread what you can do or suppose to to
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom