Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza Muziki

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza muziki kwa kutumia program za Computer ili nimuunganishe nma mtu ambae ni mtaalamu kias lakini ana vifaa ambavyo vitawawezesha kufungua studio ndogo kwa ajili ya kurekodi Nyimbo na Video.
MASHARTI

  • Awe mkazi wa Dar es Salaam
  • Awe mwaminifu
  • Awe ana uwezo wa kutengeneza beats na vocal
  • Awe na eneo ambalo ataweza kuweka hivyo vitu kama studio
  • Awe eneo ambalo linafikika kwa haraka
  • Awe serious na kazi hii.
Kama unakidhi vigezo hapo juu, PM maelezo yako na namba yako ya simu then ntampa muhusika atakupigia.
 
Program ni kama vile Fruity Loops (FL), Cu Base, Adobe, Nuendo, Sony vegas nk.
 
Hebu mcheck huyu 0712148001, muulizie AK47, He is a good producer..!
 
Back
Top Bottom