Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 182
baba na mama na wife
Loooo,maskini weee,kwa hiyo baba alie tumama yangu huwa hana mpinzani, na ataendelea hivyo siku zote za uhai wangu
kila mtu aliye karibu na wewe ana umuhimu, kila mmoja kwa kiasi chake.
Swali linakuja je, mtu gani ni muhimu kuliko wote maishani mwako??
Uko tayari kumlinda kwa lolote?:fencing:
Uko tayari kufa kwaajili yake?:rip:
Na kama angekua tofauti na alivyo (tabia,sura,elimu,n.k)/au akibadilika bado atakua na umuhimu alio nao maishani mwako?:a s thumbs_up:
Allah means GOD... the same God Christians and Jews believe.. so be careful when u insult what other ppl believe...kwahiyo mungu kwako ni mwamedi, au mzimu unaoitwa alah, au?
Umeshatafakari mama wa kwanza?
Loooo,maskini weee,kwa hiyo baba alie tu
Mke wangu ndio mtu wa muhimu kuliko wote maishani mwangu. niko tayari kumlinda na kumtetea kwa lolote hata kama amewakosea watu wengine etc. ila, siko tayari kufa kwaajili yake kwasababu Yesu peke yake ndo aliyekuwa na uwezo wa kufa kwaajili ya wengine. Mungu anatusaidia, hawezi kuwa tofauti wala hawezi kubadilika kwa lolote.
namtetea na kumpenda. mfano: yeye kama mwanamke wenye mapungufu kama walivyo wanawake wengine,hata kama atakuwa amewakosea kwa bahati mbaya majirani,rafikize au mtu yeyote, sitakubali mtu yeyote anyooshe mkono kumpiga, kumtukana, kumdhalilisha kwa lolote. anayeona waifu wangu ana matatizo anatakiwa aje aniambie mimi imrekebishe, kama hataki kuniambia mimi basi anyamaze kimyaaa aniachie waifu wangu. niko tayari kumlinda asiumie moyo ili sote tuishi maisha marefu,
nimemtetea na hakuna hata ndugu yeyote mwenye mamlaka ya kuingilia ndoa yetu, ndugu yeyote akitaka anichokoze basi aingilie ndoa yetu, amsema mke wangu vibaya au afanye lolote...awe dada yangu(wifi yake waifu), maza wangu au yeyote, mimi nilishajiunga kuwa mwili mmoja na wafu wangu, so anayemgusa yeye ananigusa mimi. However, wanaweza kutoa ushauri tu kwa busara na heshima nyingiiiii. out of that, watuache tu, byebye.
Hivi ilikuwa ni watu tuwapendao ama mtu tumpendaye?
Basi kama ni UMPENDAE iweje wengine wetu tujibu kwa uwingi?
Mi kwakuwa nimeshindwa kumchagua mmoja kati ya baba yangu, mama, yangu, mke wangu, na mabinti zangu wawili.kwenye kuthamini of kozi ni wazee lakini hilo suala la kulindana HALINDWI MTU ! hehehehe ikitokea tsunami nabeba hamsini zangu najiokoa peke yangu, atakaefariki nitasimamia mazishi yake.