Mtu mmoja afia ndani ya basi la 'Mombasa raha'

Slave, naomba maoni yako kuhisna na kinachpweza kuwa sababu ya kifo hicho kwa sababu hii kauli yako kuwa watu wanne wameshafia ndani ya mabasi hayo inaleta mashaka na ni tuhuma nzito dhidi ya mabasi hayo. lakini unasema kwa maelezo ya babu wa huyo marehemu alikuwa mgonjwa aliyefuatwa machimboni. Ulivyoona wewe, kifo hicho kimesababisha na kusafiri ndani ya basi au ugonjwa wa huyo marehemu wa mgodini?

binafsi naona mtu huyo alipanda bus akiwa na ugonjwa wake.pia sio vyema kutuhumu jambo lisilo na uhakika.
 
Pole sana mkuu Mungu awape nguvu na faraja wafiwa, awasaidie waweze kuuhifadhi mwili salama.
 
mkuu slave pole sana kwa msiba ila pia kuwa makini na kauli mkuu alafu umepotea sana cku hizi

nashkuru mkuu.pia nimekuelewa juu ya kuwa makini,nadhani tu kuna baadhi ya member wametafsiri tofauti neno "INASEMEKANA" kuhusu kupotea nikweli siku hizi naingia kwa ku beep kutokana na eneo nililopo network inasua sua sana.
 
Ni basi linalotoka kahama kuelekea mwanza mtu huyo ambae nimekaa nae siti moja amefariki dunia gafla kabla hatujafika shinyanga.

Kwa maelezo ya ndg yake ambae tunae siti hii hii ya watu watatu amesema mtu huyo ambae ni mjukuu wake alisikia mjukuu wake anaumwa sana huko machimboni na kuamua kumfuata na kumpeleka kwao bariadi.

Hapa ndo tumefika ktk hosptali ya mkoa Shinyanga na wauguzi wanashusha mwili wa marehemu.

Inasemekana mpaka sasa ni zaidi ya watu wanne ndani ya mwaka mmoja wamekuwa wakifia ndani ya magari ya Mombasa Raha, ni bus lenye namba za usajili T140 BTM.

Souce: Mimi mwenyewe

Issu ya msingi tumeipata, hayo mengine yaache huko vijiweni. Poleni sana kwa mkasa huo na pleni wafiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom