Mtu miyeyusho kuliko wote hapa JF

52 ! Pamoja na kuomba kwako ufafanuzi, na sijajua kama umeshafafanuliwa au laa,
Mimi probably nitoe ushauri "free consultation"
Thrade kama hii ya kumtafuta sijui Member miyeyusho as a leader !
Which/what the benefit we earn from it ?
Nionavyo mimi ni kama ufilisikaji wa mambo au vitu vya kimsingi unavinjari kwa baadhi ya member wanavyotakiwa kuvileta Mkekani.
Inshort inaonesha yale ya kimsingi yanapokua member kafilisika, anarudi ndani ya Jf na kuleta mada kama hii ,
baadae itakuja member gani mweupe/mfupi/mnene/mwembamba/big masaburi n.k haya ni mawazo yangu tu, kama mimi.
Wako watakaoona Thrade kama hii ina mvuto, na umaana, umuhimu simlaumu mtu ni wao na roho zao.

Chit chat
 
heeeey! Super myeyushaji, habari za kupotea bhana...

hahahaha.... huo uonezi huo Tanmo.... BTW Hongera kwa kulea naona mtoto kakua kweli kweli... au ndio kuyeyushwa kwenyewe? lol
 
hahahaha.... huo uonezi huo Tanmo.... BTW Hongera kwa kulea naona mtoto kakua kweli kweli... au ndio kuyeyushwa kwenyewe? lol

Kongosho anakutafuta, umemuona? Manake amekupania kweli kweli. Lol... Karibu tena Jei Efu, ila ukiondokaga basi ukumbukege kuaga.
 
Kongosho anakutafuta, umemuona? Manake amekupania kweli kweli. Lol... Karibu tena Jei Efu, ila ukiondokaga basi ukumbukege kuaga.

Ananitafuta wapi? Mbona tumeonana kabisa ananisaidia kukusanya madeni? Next time will heed in purple.... and THANK U in blue...
 
Myeyusho mana yake ni mtu nuksi mnafiki.. Majungu .mwongo .na mengine kama hayo kama vile ms. Yeye ni mfano mzuri. Anzieni hapa sitaki waongezeke kwa kuelezea maana ya myeyusho na yeyote atakayebisha kasoro mtoa mada pia atakuwa myeyusho. Of duty.
 
Ananitafuta wapi? Mbona tumeonana kabisa ananisaidia kukusanya madeni? Next time will heed in purple.... and THANK U in blue...

kuna wakati nimekutana naye jasho linamtoka, huku kavua hadi shati akaniuliza kama nimekuona. Hadi akapendekeza tukuite supest myeyushaji kwa jinsi ulivyomtenda..
 
Back
Top Bottom