Mtu miyeyusho kuliko wote hapa JF

Hahahahahaaa sawa kwa hapo ntakachofanya ntajitahidi kuhack PM zenu tu
Hahhahaaa hahahahhaa,
Ushindwe kwa jina la yesu lol!
Hutupati ng'o,hata huko pm hatupo,nimehamia oficn kwake,
Kwahiyo tupo ana kwa ana,hahahah!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom