Mtu kuumwa ni uzembe au ni mipango ya Mungu?

IRAQW MINING

Member
Apr 18, 2011
86
6
Wana jf kuna swala huwa nashindwa kulipatia ufumbuz, nikwmba mtu anapougua kuna uzembe hapo au ni mambo ya mungu?naomben ufafanuz pls!
 
Mm nafikiri kila ugonjwa una chanzo chake,kwa mfano kipindupindu chanzo chake ni uchafu,malaria n mbu nk:je mtu ukijizatiti na kufanya checkup mara kwa mara hatuwez kumwondoa adui maradhi?
 
magonjwa ya kuambukizwa unaweza kuyadhibiti kwa kiwango fulani kutegemea na mazingira pia magonjwa yatokanayo na tabia.lakini magonjwa ya kurithi,yanayosababishwa na ajali na mengineyo hakika ni mipango ya mola..imagine mtu alikuwa mzima ghafla kawa chizi utasema kajitakia wakati hata bhang wala unga haujui?
 
ni uzembe na mambo ya shetani. Mungu anatupenda na anatulinda.
Duh kwahiyo ulinzi wa Mungu unakomea wapi? Maana hata wale viongozi wa dini na wale waliotumwa kufanya kazi zake nao hufa hayamkini kwa maradhi. Kwahiyo inakuwaje?
I am sure kama ni uzembe wale ambao wanaaccess na huduma bora za afya kamwe wasingepata maradhi na pia kama wanamcha Mungu na huenda wangeishi milele maana sina hakika kwa mtazamo huu kifo ni nini?
 
Kuna uzembe kama kipindu pindu, lakini kunamagonjwa kama kifafa, athma, na mengine mengi si uzembe wala si mipango ya mungu, kwasababu ukimuomba mungu anakuponya. Ila sina uhakika na MABUSHA, sijui yanatokana na uzembe au shetani.
 
Duh ww umetengeneza category ya tatu. Uzembe, mipango ya Mungu na ya tatu ambayo haipo kwenye zote. Yaani hii ni kuonyesha inconclusiveness tu na si jingine lolote. Maana akitokea mwingine akasema kifafa ni uzembe utamwambia nini? Lets be realistic hakuna cha uzembe katika kuugua. Kila mtu angependa kuwa na afya njema lakini kwa bahati mbaya haiwezekani. Ukienda kwenye nchi za wenyewe wanahuduma bora saana za afya na wametokomeza maradhi kama malaria lakini bado wanaumwa.
 
unamaanisha nn kaka?kwamba kuumwa ninini hasa?
 
Mtu anaponunuwa sigara juu ya pakti ya sigara kuna maneno "uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako" yule mtu akanunuwa na kuvuta baada ya miaka kenda akapata maradhi.. je huo ni uzembe au mipango ya mungu...?!
 
Kila ugonjwa unachanzo chake na tunaweza kujiepusha nayo kama tutaweza kufatisha mashartti ya afya kwa asilimia mia kitu ambacho hakiwezekani kutokana na mazingira yetu ya kila siku.
 
Kwa kweli kuumwa ni matakwa ya kibinadamu zaidi kwakua mungu hapendi binadam tuteseke kila la shetani na wabaya huletwa na binadamu tofautisha pia kifo na maradhi sio wote huumwa ila kifo ni cha wote tutakufa tuu! Usisingizie Mungu kwa uzembe wako.
 
Back
Top Bottom