Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Mkuu sio vita ni katika hali ya kumuweka jamaa sawa...........vita inakaribia kuanza hapo juu
Mkuu sio vita ni katika hali ya kumuweka jamaa sawa...........vita inakaribia kuanza hapo juu
vita inakaribia kuanza hapo juu
Sikiza wewe gret sinker, kama huna la kuongezea kaa pembeni..hivi ni nani amekwambia nimekasirika? Hebu lione kwanza..
Una uhakika we hauna stress??? naomba usijibu ili mada iendelee...nashukuru.Mh! Stress hizo.
To me kuchemsha interview does not mean hujui kazi!
Inawezekana ukawa hukuwa njema that day.
To me ata vyeti vizuri are mere certificates what matters is if you can deliver!
Sikiza wewe gret sinker, kama huna la kuongezea kaa pembeni..hivi ni nani amekwambia nimekasirika? Hebu lione kwanza..
Hivi wewe ni nani unayeamua maoni yepi ni ya maana na yepi si ya maana? Kwani umelazimishwa kusoma ninachoandika? Unachangia kulipia bandwidth? au kiherehere tu kama binti aliyevunja ungo?
Umepewa kujibu swali unauliza upupu ila mitusi inakutoka mdomoni kana kwamba break. Inteview nyingi za bongo ni uzoefu, unaweza kuja na PhD zako bado wakakumwaga kwa sababu huna uzoefu, nikaja mie karume kenge na kidploma changu nikapewa kazi.
Hii inatokana na makampuni yenyewe yalimhitaji nani na kipi walitaka kutoka kwa mlengwa. Mimi kama mimi na uzoefu wangu wa muda mfupi naweza kusema hata bahati nayo imo kwenye kufanikisha mambo fulani.
Hiyo ya kujuana nayo ipi ila sehemu na sehemu. Kusoma au kuwa na degree si kigezo cha wewe kuomba kazi ukapata haraka au ukaabudiwa kama wengi wanavyofikiri.
Wale wote mnaofanya interview nyingi msikate tamaa siku moja itajibu tu, endelea kuomba kila unapoona kazi inakufaa.
Jamani hizi fikra hizi ndo zinatucost. Ukweli ni kwamba Elimu haina substitute. You either go to school or go to school. Increasingly hata nchi zetu za kijamaa za bongo..elimu is slowly but surely taking its rightful place. Yale ya zamani..kwamba una diploma ukapata kazi na kumuacha mwenye degree...ndugu yangu yanaisha na akina Kingunge. Ofcourse old habits die hard...but surely..usitegemee kuwa na diploma..eti utaipata kazi..wa masters wamuache..labda kama employer ni mjomba wako..na kampuni ni ya kwake...I doubt hata kama yeye atafanya hivyo...
Lakini for sure..naamini mtu mwenye alimu yake..anastahili kuwa rewarded.
Ukiwa na Bachelor, Masters or PhD si guarantee kwamba utapata kila kazi unayoiomba, ila kutokuwa na hivyo vyeti ni gurantee kwamba kuna kazi huwezi omba kamwe.
Kwa nchi kama bongo..asikwambie mtu bwana..bila elimu ni vigumu kusonga mbele. Ni vyema tukawapa moyo vijana wasome..hata kama wanataka kusoma mpaka PhD......Gone are the days kwamba eti ukisoma mpaka PhD lazima ukawe mwalimu..siku hizi kuna mikazi kibao ya akina World Bank au IMF..kama huna PhD hata application usihangaike kutuma..life is changing so faster..na ni vyema na sisi waafrika tukainvest katika elimu..tuache kuridhika na hizi diploma zetu za Mzumbe na kwingineko..
Kuhusu swali la interview..siku hizi hata waajiri wamebadilika..wamegundua kwamba inawezekana mtu asiwe na uwezo wa kuongea vyema....lakini akawa na uwezo mzzuri tuu.... kwa hiyo unapewa oral na written..sasa kama ukishindwa oral..ukafaulu vizuri written..it all depends on the employer..anataka mtu gani....Ila kwa uzoefu wangu..written test siku hizi iko more popular na ukiifaulu..you are halfway towards your first paycheck.
kwa mimi mtazamo wangu hapana,kwanza kwenye interview sometime inategemea siku hiyo uko vp,alafu ni kitu cha mda mchache sana ambacho mtu anataka kutumia kukufaham wewe kiundani.
Greetings
Mara nyingi nimeona watu wengi wakihudhuria interview zaid ya kumi na hawapati kazi na wakati huo kuna wengine wanahudhuria interview moja tu na wanapata kazi. nikawa najiuliza maswali mengi na kutokupata majibu sahihi. wakati mwingine nilifikiri labda ni mkono wa mtu ndo maana wengine wanashindwa kupata kazi.
Naomba ufafanuzi kutoka kwa wanajamii. Hivi inawezekana mtu akawa na vigezo vyote vya kupata kazi na akawa amewashinda wengine lakini siku ya interviewkutokana na uwoga na wasiwasi akashindwa kufanya vizuri katika ule usaili. Je kwa kigezo hicho tu ndo kinaweza kumfanya mtu huyo kukosa kabisa kazi hiyo