Mtu aliyebadili jinsia azua kizaazaa Dar

Jamani aliye sikia mipango ya mazishi nataka nikawakilishe.

msiba upo kwa ndugu yake,maeneo ya Mbezi Beach Tank bovu,karibu na club ya bills lodge ukifika hapo ukiuliza utaelekezwa kwenye msiba.
 
Sa sijui tumwite he/she? Inanikanganya!

To me -no wonder, he/she is simply paying for the actions of his/her own decision, and he/she has got none to blame.!

Ni mpumbavu flani tu, ambaye hajapata kujipenda maishani mwake, then how would he/she expect the 3rd parties to love or feel pitty on him/her?

He/she has chosen a way of life, acha ailipie.
Tchao!

Sidhani kama wewe unaelewa uongeacho. Binadamu yeyote anahitaji haki yake kama binadamu. Wewe ubaguliwapo kwa kuwa mweusi walalamika, lakini huoni unavyombagua mwenzio. Wewe usiwe hakimu, achia hilo kwa Mungu. Munge pekee ndo ajuavyo atakavyo-deal naye. Lakini wewe kama binadamu, mpe heshima yake na haki yake ya msingi ambayo ni kuishi (life).
 
Hizi ni kazi za adui (SHETANI), hakuna wakulaumiwa.

"Basi Yesu aliwaambia tena, Amini, amini, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo. Wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi; lakini kondoo hawakusikia. Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho. Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele."

Njia pekee ya kuwasaidia watu wa aina hii ni kuwarejesha katika upendo wa Mungu na wajitambue ya kwamba mbele za Mungu yeye ni wa thamani sana na haitajiki kujikataa.
 
masikini aluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

alikuwa ana Sauti nzuri kweli akiwa anawahudumia wateja wa ATCL nakumbuka alifukuzwa kwa sababu ya rubani mmoja alikuwa anaongoza kitengo chao akasikia rubani mwingine inasemekana alikuwa na mshine ya ajabu alikuwa anamchapa kule dubai watu wakamla chabo ndipo aliporudi akukaa sana wakamsakizia kesi akatimuliwa
pamoja na kutimuliwa alikuwa mkarimu mashaalaa hata alipoamua kuingia rasmi hakusita kumjulia hali MuMe rubani aliemfukuza

RIP

ALUUUUUUUUUUUAAA

Huko dubai alikuwa ashikiki...jamani...anya way kisa kimoja cha kusikitisha sikumoja walikuwaclub wakaenda ****** walipofika vyoo vilikuwa vimepakana na vya wanawake baadhi ya wafanyakaz wa kike wakasikia watu wanabishana naaanza mimi aaahh naanza mimi mwingine akatoa ndege itakuwa aiondoki gafla wakaanzasikia sauti ya uhuzni yalaaaaaaaaaaahh toba wanaichafua mtoto wa mwenzio ...kilichofwatia anajua aluuuuuuuuuuu uk aliko

HE KUMBE ALIANZA ZAMANI………..KAMA NI HIVYO

KUNA MA R.I.P KIBAO WANAKUJA NYUMA YAKE…..

HAYA NGOJA NIANZE

R.I.P WATARAJIWA

JAMANI KUNA PROGRAM YA KUWAMALIZA NINI HAWA WATU..HEE
AMEANZA

1) MAC D

2)AUNT VICKY

NEXTY
 
masikini aluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

alikuwa ana Sauti nzuri kweli akiwa anawahudumia wateja wa ATCL nakumbuka alifukuzwa kwa sababu ya rubani mmoja alikuwa anaongoza kitengo chao akasikia rubani mwingine inasemekana alikuwa na mshine ya ajabu alikuwa anamchapa kule dubai watu wakamla chabo ndipo aliporudi akukaa sana wakamsakizia kesi akatimuliwa
pamoja na kutimuliwa alikuwa mkarimu mashaalaa hata alipoamua kuingia rasmi hakusita kumjulia hali MuMe rubani aliemfukuza

RIP

ALUUUUUUUUUUUAAA

Huko dubai alikuwa ashikiki...jamani...anya way kisa kimoja cha kusikitisha sikumoja walikuwaclub wakaenda ****** walipofika vyoo vilikuwa vimepakana na vya wanawake baadhi ya wafanyakaz wa kike wakasikia watu wanabishana naaanza mimi aaahh naanza mimi mwingine akatoa ndege itakuwa aiondoki gafla wakaanzasikia sauti ya uhuzni yalaaaaaaaaaaahh toba wanaichafua mtoto wa mwenzio ...kilichofwatia anajua aluuuuuuuuuuu uk aliko

HE KUMBE ALIANZA ZAMANI………..KAMA NI HIVYO
 
kuna ma r.i.p kibao wanakuja nyuma yake…..

haya ngoja nianze

r.i.p watarajiwa

jamani kuna program ya kuwamaliza nini hawa watu..hee
ameanza

1) mac d

2)aunt vicky

nexty
 
Wewe ubaguliwapo kwa kuwa mweusi walalamika, lakini huoni unavyombagua mwenzio. Wewe usiwe hakimu, achia hilo kwa Mungu. Munge pekee ndo ajuavyo atakavyo-deal naye. Lakini wewe kama

wewe acha kudanganya watu bibili inasema wazi uwezi kufananisha kubaguliwa kwa rangi na uchafu wa aluuuuu mtake radhi mungu wako...kama ni kubaguliwa kwa rangi mbona usemi weupe wakibaguliwa lakini sehemu za ***ziko nyeusi hilo ulioni ???

uf****** ufw************* laaaaana tupu tusidanganye watu hapa....maandiko yanasema wazi baada ya kufa hukumu.....akasubiri cha moto na wewe jirekebishe ili usiishi maisha aliyoishi aluuu ...

Mungu atunusuru wana JF
 
huyo jamaa tunamfahamu sana alikuwa hakosi kuja disco mbowe na ushirika club enzi zile alikuwa anapenda kujipodoa sana,ahatukujua kama sio riziki duuu....,alikuwa beneti sana na jamaa mmoja mtoto wa mjini kwa sasa marehemu RAY ABDUL aka RAY PARKER JUNIOR
 
Inasumbua kidogo hili neno kubadili 'Jinsi' au 'jinsia'; ukiangalia magezeti mengi yanachanganya sana neno hili, ingawa wataalamu wa kiswahili wanasema inatakiwa kuwa 'kubadili Jinsi' wala si 'Jinsia.

Kwenu wenzangu.
 
hebu soma hapa ndipo uone kuwa kuna hitilafu ktk upashanaji habari...

....Fanyeni utafiti waandishi kabla ya kutoa habari, Habari Leo wamesema jamaa hakuokotwa beach wala kubakwa, alikunywa sumu nyumbani kwake, na mwenyenyumba wake akawapigia polisi na ndio waliomchukua na kumpeleka hospitali, na mabli ya sumu pia amegundulika kuwa na ugonjwa wa uti wa mgongo! Jamaa huyu alikuwa akiitwa Abdalla hapo alipozaliwa, na baadyae alipoanza balaa lake akajiita Vicky, hivyo msiendeleze uzushi wa kubakwa, hakubakwa, asingekufa kwa kubakwa, kanywa sumu ka balaa lake mwenyewe!
bullet7.gif
na Msii, Tz, - 21.05.09 @ 10:03 | #25384
source. Tanzania Daima
 
Back
Top Bottom