Mtu aligeuka chatu Buguruniii nani alimuona?

Mwache77

Senior Member
Jun 3, 2011
174
57
Miaka ya 1980 katka hapo cna uhakika na mwaka,ila kuna habari zikizagaaa .tu kageuka Chatu huko Buguruni.Lakin cha ajabu hakuna aliyesema kamuona kama ukikuwe au ulimuoana na unakumbuka mwaka sahihi tukumbushe,huku buguruni kuna mambo sana.Sasa scorpion mtoa macho wanasema ametoa watu wengi nikweli au kama mtu kageuka chatu tu.Mpk leo hakuna ukwel wa mtu kageuka chatu
 
Mimi nilimuona ...aliwekewa maji ya kuoga na mkewe...maji hayo yalikuwa na limbwata lililo kosewa masharti
 
Hii story alinisimulia mama eti huyo mtu aliwekewa dawa na mkewe ktk maji yakuoga ili azidi kumpenda mkewe baada ya kuoga huyo mume akageuka chatu....nahisi zilikuwa story za kuwafanya wanawake wasitumie hizo dawa. Pengine ni huu uongo wa DSM umeanza siku nyingi manake dar napo kwa uongo ...Mara mtu kayeyuka ktk mataa salenda...Mara wamegandana...Mara Lipumba hana mtoto...Mara sijui nini yaani uongo ni kama sehemu ya dar
 
Ndiyo maana huwa wanashauriwa kuwa wasivute kwanza ' bange ' kama hawajala na kushiba hawasikii. Madhara yake ndiyo hayo aliyotuandikia ambapo hata Mimi sijamwelewa na naona ' maluweluwe ' tupu!
Bange kwetu mboga kama uelewiii umejibuuu nn?
 
Hii story alinisimulia mama eti huyo mtu aliwekewa dawa na mkewe ktk maji yakuoga ili azidi kumpenda mkewe baada ya kuoga huyo mume akageuka chatu....nahisi zilikuwa story za kuwafanya wanawake wasitumie hizo dawa. Pengine ni huu uongo wa DSM umeanza siku nyingi manake dar napo kwa uongo ...Mara mtu kayeyuka ktk mataa salenda...Mara wamegandana...Mara Lipumba hana mtoto...Mara sijui nini yaani uongo ni kama sehemu ya dar
Mara Mr Canada hajui "kidhungu" yani watu wa Dar wana mambo loh!
 
Hii issue ilitokea nikiwa mdogo Enzi hizo tunaishi mabibo external nikawasikia wakubwa wakisema eti ni kweli mtu kageuka chatu ila serikali wanaficha kwa kuogopa aibu ya nchii kuonekana ya kishirikina
hata hivyo nadhani ni uzushi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom