Mtoto wangu wa miaka 8 anaogopa somo la hisabati kama ukoma!

Pole sana. Tatizo wewe huna teaching methods.
Ni mkali
Hujui njia za kumfanya aelewe
Unadhani uwezo wake wa kufikiri unalingana na wako
Unataka afanye kilebunachotaka wewe kwa spidi unayotaka wrwe. Haviendi hivyo mzazi mwrnzangu.
Nimi ni ticha mwanangu alianza std 1 akiwa 5 yrs n alikuwa bright untilnnow he is at uni. 20 yrs second year. Mpeleke trtbu kwa viwango vya drs lk ataweza. Usitumie zaidi ya dk 30 kumfundisha jambo 1. Na akimaliza sio uunganishevna j I ngine mwache apumzike. Anakusukiliza kwa woga kwa sababu tu ni bb vinginevyo hamna kitu hapo. Be very friendly atakuelewa na atalipenda. G luck
 
Back
Top Bottom