Mtoto wangu ana tatizo la kuziba kwa utumbo mpana

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Jf Doctor.

Mtoto wetu wa 7 amekuwa na tatizo hilo kwa muda mrefu sasa ambapo awali hatukujua kimachomsibu ila tuliona anapata tatizo la kuumwa tumbo kila wakati tukienda kwa Doctors wanamchek na kuishia kumpa Antibiotic hata huivyo afya yake ikwainazidi kudorora pia uzito unapungua.

Tuliamua kumpeleka kwa dr buigwa wa watoto ndipo alipogundua tatizo hilo kwa kuziba kwa utumbo ambapo amepatiwa dawa anazoendelea nazo. Tunategemea tarehe 30 mwezi huu Dr akamcheck tena kama atapaswa kufanyiwa upasuaji au la.

Nitaomba wale wenye uzoefu juu ya ugonjwa huu na wale Dr.hapa kwa msaada zaidi na ushauri.
 
Jf Doctor.

Mtoto wetu wa 7 amekuwa na tatizo hilo kwa muda mrefu sasa ambapo awali hatukujua kimachomsibu ila tuliona anapata tatizo la kuumwa tumbo kila wakati tukienda kwa Doctors wanamchek na kuishia kumpa Antibiotic hata huivyo afya yake ikwainazidi kudorora pia uzito unapungua.

Tuliamua kumpeleka kwa dr buigwa wa watoto ndipo alipogundua tatizo hilo kwa kuziba kwa utumbo ambapo amepatiwa dawa anazoendelea nazo.
Tunategemea tarehe 30 mwezi huu Dr akamcheck tena kama atapaswa kufanyiwa upasuaji au la.

Nitaomba wale wenye uzoefu juu ya ugonjwa huu na wale Dr.hapa kwa msaada zaidi na ushauri.

Poleni sana na mungu atamsaidia atapona,by the way madaktari wamo humu natarajia watakushauri.
 
Poleni
Huo ugonjwa unatibika kwa asilimia mia kwa njia ya operesheni, kaka dkt amegungua atapina.
 
Back
Top Bottom