Mtoto wa ZNZ amepotea mara mbili tena kabla ya kuonekana na kupewa mama yake src ITV habari

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Pengine wakati tunalalamika huyu mtoto ajapanda ndege kutoka dar to znz wapo waliodhihaki tulijaribu kuleta ushahidi

wa jinsi watu wanavyopita uwanjani bado watu waka sisitiza kapanda ndege bila nauli na watu kutojua

haya sasa

Yule mtoto aliesemekana amepanda ndege kutoka dar to znz amekabidhiwa kwa mama yake mzazi leo

katika tukio la kushangaza mkuu wa polisi znz amesema huyu mtoto baada ya kuonekana uwanjani znz

alifanikiwa kuwapotea mara mbili kimaajabu na leo hii wakaamaua kumkabidhi mama yake mzazi

Mama mzazi alishukuru jeshi kwa kumpata mwanae ambae alisindikizwa na wana usalama mpaka kwenye meli kuelekea dar

Mama huyu alikiri kweli mtoto wake amekuwa akipotea kimazingira na anaemchukua ni baba yake na gafla anakutwa sehemu za ajabu ajabu

akasema ni kweli kinachoongelewa na wana usalama kwamba aliwapotea tena na kumpata zaidi ya marambili walipomhifadhi wakimsubiri

Ameomba jeshi kumsaidia kumpata mzazi mwenzie aaweze kutoa matumizi ya mwanae loh hapo sijaona jeshi walichojibu kwa kweli

src-itv taarifa ya haabari
 
mimi ni security officer wa airpirt....dogo kapanda ndege au kaonekana znz airport? airport kuna cctv kote waoneshe
 
entim huko wala usiifike huyu mtoto ni msukule nakwambia alikuwa akiangalia watu huku anavyokonyoa macho kama anaona GWAJIMA Anamkaribia maskini mwenye cont ya yule mama atusaidie Mungu anataka kumponya mwanae kupitia maombi
 
Ndugu Pdidy unapenda kuleta mada humu jamiiforum lakini ukweli yale unayoandika mara zote unaandika madudu tu.Makosa ni mengi mno ya kisarufi, huheshimu herufi kubwa, koma, nukta na alama zingine za uandishi.Kwa mfano AJAPANDA.ndege ndio mdudu gani badala ya HAJAPANDA ndege.Hata huko nyuma umekuwa unaandika OFU badala ya hofu, MISILI badala ya MITHIRI, njoo APA badala ya njoo HAPA nk.Kwa nini unajianika hadharani kuwa shule hujaenda??? Punguza au acha kabisa kujidharaulisha kuandika wewe huwezi kabisa.
 
Ndugu Tyupa mfahamishe vzr pdidy, au mpe ushauri aende kwnye shule za elimu ya watu wazima apate kujifunza kiswahili fasaha KUSOMA na KUANDIKA..
 
Ndugu Pdidy unapenda kuleta mada humu jamiiforum lakini ukweli yale unayoandika mara zote unaandika madudu tu.Makosa ni mengi mno ya kisarufi, huheshimu herufi kubwa, koma, nukta na alama zingine za uandishi.Kwa mfano AJAPANDA.ndege ndio mdudu gani badala ya HAJAPANDA ndege.Hata huko nyuma umekuwa unaandika OFU badala ya hofu, MISILI badala ya MITHIRI, njoo APA badala ya njoo HAPA nk.Kwa nini unajianika hadharani kuwa shule hujaenda??? Punguza au acha kabisa kujidharaulisha kuandika wewe huwezi kabisa.

Tooolyt
 
Ukizowea utamwelewa tu, au ukiona anakuzingua unaacha kusoma post zake, au kama anakukera zaidi unamweka kwenye ignore list kabisa unakuwa hauoni post zake.
 
Back
Top Bottom