Mtoto wa Yusuph Makamba Jela kwa Wizi wa Mbegu

Code:
Sishabikii ila najaribu kuonyesha picha nyingine ya Yusuph Makamba,ambaye anajivunia mafanikio ya Watoto wake wakati mwingine akisota Mtaani mpaka inapelekea kuwa tapeli,Mimi mwenyewe amenikosa kosa akinikopesha Laki nampa Elfu kumi/Ishirini namwambia hiyo simdai. January upo???

Alizaa na mama ntilie nini? kumbe kazee kanapiga peku peku sana eeeeh
 
Usikute Makamba MWENYEWE the former DSM RC alishamchoka tatizo hakubadili jina!
Hakuna namna inabidi dingi akomae amtoe tuu maana AIBU!
 
Mtoto wa Yusuph Makamba kwa kuwa tu anaitwa AMANI MAKAMBA?
Mwanae kivipi?
 
sikatai na sijkubali ila naomba uthibitisho kwamba ni mtoto wa makamba... zaidi ya hapo tusitumie jukwaa kuwapaka watu matope.. tutumie hoja za mapungufu yao kiutendaji kama tuliwapa au tumewapa dhamana za kutuongoza..
 
alizaa na mama ntilie nini? Kumbe kazee kanapiga peku peku sana eeeeh

angendekeza maplastic yenu tungekuwa na mbunge wa bumbuulii leo,,mkurugenzi wa ....vodacom
raha jipe mwenyewe bana mzee kazi umefanya wacha tule matunda yako kama wizi aataacha hata epa waliiba ati wakasamehewa sembuse mwanawetu
 
Du nilifikiri ni yule mtoto wa Makamba Hakimu, sijui alishatimuliwa maana ni alikuwa mlevi sana na issue hana kabisa. Alibebwa na uongozi wa mahakama mpaka basi. Hivi yuko wapi huyu? Baba yake hamtaji kabisa, ameegemea kwa January na Mwamvita, the stars!!! Watoto wote si sawa baba, hakuna wa mgongoni na wa tumboni!!! Utaaibika.
 
Kwanini dada yake asimpe ajira hata ya kusimamia wafagizi kwenye hilo likasri lake.
 
ni kweli MKUU
NI BABA WA MTOTO MMOJA WA KIKE NA MTOTO WA PILI WA KIUME MUNGU AKIPENDA MWISHO WAMWEZI
NAJUA KAMA MZAZI MAKAMBA ANAITAJI KUJIPROUD NA WATOTO WAKE PAMOJA NAHAYO LAZIMA UJUE SIO WATOTO WOTE WATAKUWA SAWA ..NDIO MAANA NIMERUDIA TENA USISHABIKIE SANA SANA KAMA BADO UNA MBEGU ZA UZAZ UNLESS UMEAMBIWA POVU ZINATOKA UNA HAKI YA KUENDELEA NA MADA BINAFSI NINA MTOT NAITAJI KUONA WATOTO WA WENZANGU WAKIFANIKIWA MUNGU AMFANIKISHE WANGU HATA KAMA SITOKUWAPO

wa kiume una shabaha? Uliwahi lenga nini? Anywy kikubwa ni kuhakikisha watoto wako unakuwa karibu nao, sio unamwachia bb yao awalee afu unasema una watoto, pia ww mwenyewe lzm uwe umekua ktk na bado unayo maadili la sivyo heredity inaweza kuwaharibu au kuwajenga...ol in ol GOD blec shemeji ajifungue salama na akape maisha marefu kachanga katarajiwa.
 
Back
Top Bottom