Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

Tuna mkaribisha sana ila asifikiri huku kuna posho au rushwa, huku ni kazi tu, tutamzungusha kwenye operesheni sangara (M4C) nchi nzima akapate mkong'oto wa mabomu ya machozi, akimaliza hapo hata harufu ya gamaba itakuwa imemuisha mwilini.
 
Familia ya huyu Mzee imegawanyika kwa mambo mengi tu. Huu mgawanyiko wa kisiasa ni jambo dogo na la kawaida sana.
 
Stephen Wassira hafai kwa lolote. Hata akisafishwa, hasafishiki. Siku akiingia CDM, na akakubaliwa, ndipo nitakapojiridhisha kuwa CDM tumekuwa vilaza wa kufikiri. HIVI WASIRA AKIJA CHADEMA, TUTAMPA KAZI GANI?

kazi ya ulinzi wa store ya magwanda.
 
Historia inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Wassira ni moja ya founders/mwasisi wa Chadema! yupo kwenye founders list ya CHADEMA. huko aliko anaganga njaa kama wakina kaburu, na akina Tabwe Hiza.
 
Huyo ni mtoto wa kaka yake Steven Wassira...sio mtoto wa waziri Steven Wassira just to make the correction.
 
angekuwa under 18 ningechangia, otherwise, its just another tanzanian, ameamua kuexercise haki yake ya msingi...............by the way, who is wasira again??? i hardly know him!!! teh teh teh teh............
 
Historia inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Niliwahi kukuta thread ya waasisi wa CDM na Wassira ni miongoni mwao, may be mtoto kaamua kutimiza ndoto ya baba yake.
 
Anataka kuchukua jimbo baada ya mzee kustaafu 2015 kwa lazima!!

Jamani kuwa mtoto wa Wassira hakuwezi kumfanya awe na akili mbovu kama baba yake. Tumkaribishe bila kumbagua, kama katumwa ukweli utadhihiri, kama vile vibaraka wa CCM kadhaa tulionao kwenye chama, mikakati yao yote tunaijua. Welcome jembe
 
IMG_1642.JPG


Ni mtoto wa Tyson Wasira huyu?

Mh! Bila shaka hebu i zoom hyo pcha naona mlemle
 
Back
Top Bottom