Mtoto wa Sumaye Apata jiko

aisee wacha jamani

ana sura ya kifisadi kama babake;hayupo BOT huyu???

Duh sura ya kifisadi? Usham hukumu mtu kutokana na umbile au mwonekano wake? Si useme tu kwa sababu ni mtoto wa kigogo basi unadhani atakua mwizi au kupandikizwa cheo hiyo kusema sura yake sijui ya kifisadi tuna danganyana hapa.
 
"Kupata jiko" is rather Chauvinistic, wouldn't you say?

How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"?
 
How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"?

UCHKZI HUO MI SIMO
 
Picha zaidi za mtoto wa fisadi sumaye

attachment.php
 

Attachments

  • 01.jpg
    01.jpg
    28.5 KB · Views: 781
  • News_thumb_500.jpg
    News_thumb_500.jpg
    2 KB · Views: 635
  • News_thumb_501.jpg
    News_thumb_501.jpg
    1.8 KB · Views: 634
Mtoto wa Sumaye Apata Jiko, Viongozi Kibao Wahudhuria Harusi Yake

Mtoto wa Sumaye, Frank Sumaye akiwa na mkewe Anna Temu wakati wa sherehe za harusi yao Monday, May 25, 2009 4:53 AM

Viongozi mbalimbali wa serikali walihudhuria harusi hiyo. Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Pinda, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe mama Anna Mkapa, Mawaziri wastaafu Cleopa Msuya, Dk Salmini pamoja na Joseph Warioba na mkewe Catherine Warioba. Wengine ni wabunge mbalimbali na wakuu wa mikoa wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi.

mstaafu Lowassa hajishirikishi na wenzake! au bado amekasirika
 
"Kupata jiko" is rather Chauvinistic, wouldn't you say?

How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"?

You are right. Ndiyo results the mfumo dume huo. I think also women should change their mentality in regards to themselves. Una kuta kuna baadhi ya wanawake kuitwa "jiko" to them wanaona kawaida na it bothers them less then it bothers you, tena utakuta hata baadhi ya wanawake hutumia huo msemo wenyewe. It's hard to change the perception of people if you yourself have accepted the perception. Lakini siku zinavyoenda women are becoming more away & very soon they won't agree to be referred to with some of the terms we have coined them with. Likewise women should not use such terms as "buzi" or "ATM" if they also don't want to be referred to with such degrading terms.
 
Nahisi lowassa alikuwa bado anawakumbuka wahanga wa mabagala jamani

Labda hakualikwa au hakutaka kwenda. I once heard a rumor kuwa EL na FS haziivi chungu kimoja but I'm not sure ni nyepesi nyepesi tu unless someine can verify. WHat I heard was that EL started looking down on FS when he got the premiership but again nasisitiza nilisikia nyepesi nyepesi tu unless someone can verify.
 
"Kupata jiko" is rather Chauvinistic, wouldn't you say?

How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"?
I like this!

Msemo wa kupata jiko ulikuwa zamani ambapo mmke alionekana ni wa kwenda kwa mmme kumpikia nk. like an asset yo know!!!! Kwa hiyo wandugu tubadilishe mitazamo yetu kuhusu ndoa na nafasi ya mmke.
 
Picha zaidi za mtoto wa fisadi sumaye

attachment.php
BWM yupo relaxed kweli jamaniii!!! kumbe haya majungu dhidi ya serikali yake ameyashtukia wala hayamsumbuiiiii!!!

Pinda anaonekana BWM ndo role model wake kiuongozii( anamkubali kiuhakika) basi tuu hatujamuulizaga hilo swalii...

watu wa media mkipata nafasi ya kumhoji PM hilo msilisahauuu...
 
Mwanamke mwenyewe mbona mnene namna hiyo?

Kashindwa ku lose weight karibu na harusi yake?

Tazama nguo ya harusi inavyombana
 
Back
Top Bottom