Mtoto wa Sumaye Apata jiko

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye , Frank Sumaye amefunga ndoa na Anna Temu kwenye kanisa la Azania Front na sherehe za harusi yake kufanyika Ubungo Plazza zikihudhuriwa na viongozi kibao kuanzia Mkapa, Pinda, Warioba, na wengineo kibao.

1953.jpg

1949.jpg

1951.jpg

1950.jpg

1946.jpg

http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=2076458&&Cat=1
 
Naona bado tunakumbatia hii dhana ya mfumodume inayoita kuoa "kupata jiko".
 
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye , Frank Sumaye amefunga ndoa na Anna Temu kwenye kanisa la Azania Front na sherehe za harusi yake kufanyika Ubungo Plazza zikihudhuriwa na viongozi kibao kuanzia Mkapa, Pinda, Warioba, na wengineo kibao.

Thanks for the utamu updates hata kuna mtoto wa mzee Mushi kule machame kaoa juzi, na mtoto wa muchunguzi aliolewa Dar na hata mtoto wa Mze Seif alioa kimanzichana
 
Thanks for the utamu updates hata kuna mtoto wa mzee Mushi kule machame kaoa juzi, na mtoto wa muchunguzi aliolewa Dar na hata mtoto wa Mze Seif alioa kimanzichana

Mkuu mbona hausomeki? Halafu font 40..vp tena? ^_^!
 
Mkuu mbona hausomeki? Halafu font 40..vp tena? ^_^!

Anasomeka bwana......Mjomba hapo ujumbe ni kwamba mbona wengine hawatangazwi!!!!! who is Frank Sumaye?
Hata mimi kaka yangu Shemahonge kaoa Ijumaa, msikiti wa kwaMtoro Tanga, sherehe zilifanyika uwanja wa mkwakwani, Tanga.
 
Kwani huyu aliyeleta hili kaombwa na Sumaye? Wacheni watu wale niuzi bana..
 
Huyu jamaa katumwa na Sumaye? mambo ya utamu haya tusingependa kuyaona huku. Asante mdau aliyekumbusha kuwa hata yeye mpwae kaoa kimanzichana ijumaa!!!
 
Mtoto wa Sumaye Apata Jiko, Viongozi Kibao Wahudhuria Harusi Yake
2076458.jpg

Mtoto wa Sumaye, Frank Sumaye akiwa na mkewe Anna Temu wakati wa sherehe za harusi yao

Mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye amejipatia jiko lake jumamosi kwenye kanisa la Azania Front na sherehe za harusi yake kufanyika Ubungo Plazza zikihudhuriwa na viongozi kibao kuanzia Mkapa, Pinda, Warioba, na wengineo kibao. Picha za harusi hiyo mwisho wa habari hii.Siku ya jumamosi ilikuwa ni siku ya shangwe na nderemo katika familia ya waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye na Familia ya Temu , baada ya vijana wao wapendwa Frank Sumaye na Anna Temu kufunga ndoa katika kanisa la Azania Front na baadae sherehe kubwa kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Ubungo Plazza,

Viongozi mbalimbali wa serikali walihudhuria harusi hiyo.

Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Pinda, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe mama Anna Mkapa, Mawaziri wastaafu Cleopa Msuya, Dk Salmini pamoja na Joseph Warioba na mkewe Catherine Warioba.

Wengine ni wabunge mbalimbali na wakuu wa mikoa wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi.

Kwa upande wa zawadi katika harusi hiyo iliyofana sana,maharusi watajinoma sana kwani zawadi lukuki zilizotolewa.

Ngo'mbe zaidi ya 20 pamoja na mbuzi na kondoo zilitolewa na ndugu na jamaa wa bwana harusi.

Bwana harusi Frank alikuwa mwenye furaha sana hasa wakati mama yake alipokuwa akitoa zawadi ya mkufu wa dhahabu kwa mkwe wake.

Harusi hiyo ilifana sana ingawa kuna kibaka alikamatwa akijaribu kuchomoka na baadhi ya zawadi walizoletewa maharusi.
 
mungu awape amani na upendo msije kuwa mnawaonyesha watu moyoni hakuna kicheko
kila la kheri
 
Huyo unayemwita kibaka alikuwa anawakumbusha wakuu hao kuwa kwengineko jua ni kali mno!

Amandla..........
 
aisee wacha jamani

ana sura ya kifisadi kama babake;hayupo BOT huyu???
 
jamani kama wanaingia ikulu na FFU GETINI IJE KUWA HAO WALINZI WA KUKODI ???TENA KAINGIA BILA HATA KADI WAL NINI
SMART BOY
KEEP IT UP
I LOVE TANZANIAN,WATANZANIA TUNA AKILI SANA SEMA ATUJAPATA VITENDEA KAZI KAMA WAZUNGU HAKIKA WANGETUKOMA KILA SEHEMU
MTU KAMA HUYU SI WA KUMWACHIA UNAHITAJI KUMHOJI ANAWEZA SAIDIA KUPATA MAMBO EXTRA YANAYOFANYIKA MWISHO UNAMDUMBUKIZA USALAMA WA TAIFA NA KUACHANA NA KINA MICHUZI WANAUJUA VACATION TUU MAISHA YAO YOTE NA KUISHIAA KUJIONYESHA KWENYE MA BLOGU.....
BIG UP BOY
 
Back
Top Bottom