Mtoto wa Rupia Banda anatafutwa Kenya

Kiduku

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
478
73
Mtoto wa aliyekua raisi wa Zambia Rupia Banda

anatafutwa na polisi nchini Kenya baada ya kutoroka nchini Afrika Kusini

kufuatia tuhuma zinazomkabili kuhusiana na matumizi mabaya ya fedha

wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita nchini Zambia,

polisi nchini Kenya wamethibitisha.

Source : East Africa Radio,

Je hapa kwetu itakuja kutokea 2015?
 
Sio tu kampeni
jamaa alipoingia mh sitta anasema amekuta aliingizwa dili la kuu za kampuni moja ya simu ambayo yeye alidai kadhaa walipombana mwekezaji anataja pesa tofauti ilio kwenye makaratasi na iliotolewa
kizuri kula na ndugu yake akusoma nykati angemshiirikisha sitta kwenye uchaguzi zimsaidie leo anaruka kuja tz usiku
kazi mnayo
 
Raisi ajaye tanzania aanze kumsaka ritz muda huu kabla hajavuka mipaka
 
2015 watatafutwa hapa kwetu wengi sana!

Yani kwa ujumla patachimbika hp kwetu!
 
Back
Top Bottom