Mtoto wa 'rais' Banda anasakwa na Interpol

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Nawasalimu wana jf.

Mtoto wa rais wa zamani wa Zambia aliyeondolewa madarakani kidemokrasia anasakwa na polisi wa kimataifa.
Inaonekana kama ilivyo ada kwa viongozi wa Kiafrica, naye anamiliki ukwasi wa kufa mtu na uenda huko anakokimbilia akawa anamiliki estates nako kama wengi wengineo.

Cha msingi hapa, hawa watoto wa 'wakubwa' zamani walikuwa wanapeta lakini inaelekea nyakati zimeanza kubadilisha upepo maana haujapita muda mrefu tangia 'baba rais' atolewe madaraka kwa njia ya kidemokrasia!

Zambia asks Kenya to arrest Banda son
Police have received an international arrest warrant for the son of former Zambian President Rupiah Banda.

CID director Ndegwa Muhoro received a copy of the request sent to the Interpol headquarters in Lyon France.

Mr Henry Banda is said to have fled to Kenya after he was accused of corruption.

The Lyon office is expected to publish the red notice to all the 190 Interpol member countries and also post it in their website on Wednesday.

That will be the signal for all affiliate police forces to enforce the warrant.

The young Banda has previously been named in connection with a multi-billion dollar deal for the sale of assets belonging to Zambia's state telecommunications company, Zamtel.

He is known to be a frequent visitor and at times resides in Nairobi. He has connections with top politicians and their sons.

Zambian authorities allege that he flew to Nairobi through South Africa.
Source: Zambia asks Kenya to arrest Banda son *- Africa*|nation.co.ke

 
mbona wote mnamuongelea mtu mmoja tu!??

Lakini hii inazidi kutupa ushahidi kuwa zile siku za 'miungu watu' zinaelekea ukingoni, maana siku si nyingi zilizopita hawa watu waliweza kuchukua hazina za nchi kupitia mikataba bandia na hakuna mtu angeliweza kuwagusa maana hata ukibadilisha utawala anayefuatia anakuwa 'kikaragosi' cha aliyemtangulia! Ngoja tusubiri tuone hili bara letu
 
yaaani siku hiyo ntamsokomeza vitu kama alivosokomezwa gadafi alipokamatwa...we ngoja tu siku mbona inakuja hiyo
 
kazi ipo kweli, sasa mtu ametengeneza pesa zake alafu anaanza kuishi kwa masha hivi! Kuna haja ya kutafakari kable hatujapora hizi pesa au kujihusisha kwenye matendo yatakayopekea huko!

Sijui nimpe pole au!!!!
 
Back
Top Bottom